@aslam__tz: Mpuuzi aapa 🥹🤧 NB: this is just an act (music video) just to portray a story in a visual way just fictional video #mwambieni #AslamTZ #NewMusic #brokenheart #BongoFlava..

Aslam Tz
Aslam Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 09:21:22 GMT
262508
25958
535
479

Music

Download

Comments

ummeh250
🌺ummeh🦋💦 :
Uzuri unajib aslam god bless you bro🥰
2026-07-14 07:46:42
1
iamkareem78
kareem 6th :
Hii nyimbo ikikukuta umeachwa utatoka kamasi changa
2026-07-13 09:41:04
92
user7076379137886
mamito😍 :
aslam😊
2026-07-07 14:28:24
0
official_idrissy
official_idrissy :
usiku kucha naimba Nyimbo za kasim mganga AWENA🥺🙌
2026-07-07 10:10:34
70
user2638575620657
pendo cute,,, :
jmn jina lawimb please
2026-07-15 06:20:04
5
dzuu45
D,zuu🇴🇲🥰🇹🇿 :
nyimbo imetoka muda muafaka😭
2026-07-12 18:08:27
28
user7306612666808
fridah :
inaitwaje hii jmn please nitajie😥
2026-07-12 21:20:32
5
yusuph.hussein1920
yusuph Hussein 1920 :
msanii wangu pendwa kabisa aslam
2026-07-07 10:24:00
12
zena.wa.subaru
ZENA WA SUBARU😍 :
nyimbo inaitwaje
2026-08-09 15:04:04
2
ninja06241
shurahbil :
nilikuwa sijui km unaimba
2026-07-07 11:03:41
7
vanebaby34
𝐕ҽҽ 𝗠𝐨𝐧𝐞𝐲💰 💜🤍 :
kwann watu wanaachwa kwa style gani😹😹
2026-07-15 04:24:19
3
chingalyrics
chinga 001 :
Amekuwa wa kuniumiza ile nyimbo dah😢
2026-07-07 12:23:59
6
hancybishoo19
MSELA TOZZY🔐 :
anko umeimba mapenz yng kabixa dag
2026-07-07 09:26:55
8
johore08
JAI SIMBA 🦁 :
fanya mpango hii nyimbo utoe rmx na yammy hii nyimbo ni mali kaka
2026-07-13 18:33:35
5
zaimuhagaha
zy wa momy :
jina la wimbo
2026-07-28 18:59:11
0
godwin_mbappe
ğêřôñîmô_fx👽 :
Daaah ila Hii Nyimbo Aslam Kaimba Kwa Hisia Kinoma🙌🏾🥺🫡😫💔💔
2026-07-31 19:45:47
1
_.melodious
_.gal_unique🫀 :
ikawa inajirudia nyinyi🥹🤌🏼
2026-07-07 10:30:14
1
calmah35
Salmyy 💕 :
Fund huy hap🥰❤️
2026-07-07 11:03:28
1
user75529681361550
Khadija salim :
hii nyimbo nmeipat wakt sahh penda san aslam🥰🥰
2026-07-22 07:55:19
1
To see more videos from user @aslam__tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About