@kelvinkibenje_: Uko na mtaji mdogo na unataka kutengeneza faida na kukuza mtaji wako? Fanya Biashara ya urembo wa wanawake ni nzuri kwa mwenye mtaji mdogo kwa sababu: ✅Mahitaji ni ya kila siku – Wanawake wengi hununua bidhaa hizi mara kwa mara. ✅ Unaanza kwa mtaji mdogo – Unaweza kuanza hata kwa bidhaa chache. ✅ Faida yake ni nzuri – Bidhaa nyingi zina margin kubwa ya faida. ✅ Ni rahisi kuuza mtandaoni – Instagram, TikTok na WhatsApp zinafaa sana. ✅Ni ndogo na rahisi kuhifadhi – Hazihitaji nafasi kubwa wala gharama kubwa za usafirishaji. ✅Wateja hurudia kununua – Mitindo hubadilika, hivyo wanunuzi hurudi mara kwa mara. Ni biashara yenye mtaji mdogo, mzunguko mzuri wa mauzo, na nafasi kubwa ya kukua kwa haraka ukiuza bidhaa zenye ubora na zinazofuata mitindo. UsiwaW kuhusu chimbo hapa utapata vyote yaani cheni, hereni, bracelet,saa za kike, vikuu, bangili.. Piga 0765135589

Kelvin Kibenje Kyaluoko
Kelvin Kibenje Kyaluoko
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 09:21:51 GMT
40290
1270
17
74

Music

Download

Comments

benjaminyohana817
Benjamin Yohana :
weka namba ya chimbo kaka
2026-07-26 11:43:39
0
bajisa.sanga
Bajisa Sanga :
namb zako kk
2026-07-18 20:07:53
1
nazael.ainea.aine
Nazael ainea Ainea :
kaka kevi naomba kazi Niko arusha
2026-07-08 12:37:11
2
jacngade
Jac 😍 :
Nataka ear cuffs plz
2026-07-11 06:45:40
0
0mukhadesbaker
mukhadesbakery :
kaka ujanijb sms yangu wathap
2026-07-07 11:14:18
2
aisha.collection05
aisha collection :
naitaji
2026-07-07 11:15:11
2
harunimfaume
Haruni [email protected] :
kwenye hilo chimbo nalikubali sana
2026-07-23 12:12:38
1
user5948191021276
re1818 :
mm nipo
2026-07-09 17:44:37
2
rinnagmail.com
Rinna store :
pajama elfu 5
2026-07-08 15:22:57
0
user1139185126147
Riziki :
tunakupata wap
2026-07-14 14:06:15
0
memory.magesa
Memory Magesa :
bei zipoje kaka
2026-07-17 12:52:52
0
kiparaabel4
Kipara Abel :
laki moja una pata elen dozen ngapi
2026-07-11 18:40:40
1
jmathias49
Justina :
🥰
2026-07-08 19:28:03
1
ss316489
zz🌼 :
🌹🌹🌹
2026-07-07 09:42:32
2
To see more videos from user @kelvinkibenje_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About