@houseofbudgettz: Nidhamu ya fedha ndiyo msingi wa mafanikio ya kifedha. Kipato kikubwa bila nidhamu kinaweza kuisha haraka, lakini hata kipato kidogo kinaweza kukusaidia kufikia malengo yako ukiwa na bajeti, ukidhibiti matumizi, na ukiweka akiba kwa uaminifu. Karibuni #tiktoktanzania🇹🇿 #foryoupage❤️❤️ #fypシ゚ #creatorsearchinsights