@uhondo.tv: Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema anazungumza na Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Watanzania wote, akieleza kuwa ana imani kuwa ataendelea kuongoza nchi kwa amani kutokana na maombi ya vijana na mapenzi ya Mungu. Akizungumza na waandishi wa habari Julai 6, 2026, Kiliba amesema hakuna kundi, au watu wanaoweza kuzuia kile alichokitaja kuwa mpango wa Mungu juu ya uongozi wa Rais Samia. Aidha, amewataka Rais Samia kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kujiamini, akisisitiza kuwa vijana wengi wa Tanzania wanaendelea kuliombea Taifa na viongozi wake. Kiliba pia amependekeza vijana wa Tanzania waanzishe utaratibu wa kufunga na kuomba kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya kuliombea Taifa pamoja na Rais, akisema hatua hiyo itachangia kuendelea kudumisha amani, umoja na maendeleo nchini. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 10:01:27 GMT
Music
Download
Comments
Jackson Mathias :
vijana kama hawa wanamchango mdogo sana kwenye taifa .Mungu gan unae mzungumzia mkuuu
2026-07-07 16:22:11
3
Fatms Ali :
Bwana awe nawe
2026-07-07 18:34:34
1
mlugurudigitalsolution.tz :
mmmhii
2026-07-07 19:52:35
0
Aludo Makori :
Hongereni huyo MUNGU anayemtegemea Samia nasi yetu macho
2026-07-07 16:16:11
3
Hashim Hamisi :
kaz umepata
2026-07-07 18:24:08
1
smile :
umejikologa
2026-07-07 12:22:28
2
France joshua :
Amina
2026-07-07 16:52:02
1
user61565909551732 :
Amina Mungu awe pamoja na Rais wetu mama Samia, Asante vijana hayo ndo maneno ya kusema, Hongera sana Vijana tupo pamoja
2026-07-07 10:22:09
2
Warouby24 :
weee kam nan
2026-07-07 19:36:58
0
Rock g simbajike :
vijana kama hawa ndio wanaotakiwa Mungu akubariki sanaaaa
endelea kuelewesha vijana
amani ya nchi ni tunu
2026-07-07 18:31:41
1
Yusuph Hereman :
hakika mungu hawedhi kujibu. duw io
2026-07-07 19:37:33
1
George seluka :
maombi hupokelewa kwa asiye na mawaa!
2026-07-07 19:20:59
0
armaz.com :
nikajua anaongea vitu vya msingi kumbe ..........
2026-07-07 18:08:21
1
user5651214577751 :
uakika
2026-07-07 16:52:59
1
beasimba45kikosi :
duuuuuuu
2026-07-07 15:54:56
0
zookey :
C2PD !
2026-07-07 17:21:33
0
Rajabu Koi :
duuuuuuu
2026-07-07 13:16:22
0
user5651214577751 :
aminakaka
2026-07-07 16:52:09
1
Mwankenja's :
amiin amiin amiin
2026-07-07 15:14:34
1
Mayoka Jeremiah :
mmi cmo
2026-07-07 15:37:20
0
Na :
Ipo ck moja tu
2026-07-07 20:55:45
0
user9707923226129 :
amina yarabbilalamyna
2026-07-07 15:53:23
1
Abdulkadri Mbona :
ongera
2026-07-07 15:51:57
1
Juma Juma :
Hakika sisi wengine hatulali Kila hatua dua kwa mama samia
2026-07-07 15:48:56
1
Kotapin master :
Mama tunaye na tunatamba nae
2026-07-07 17:22:53
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.