Baba angu alichukua kinua mgongo akaenda mgodini mpaka now hatujui ile pesa iliishaje na hamna kitu alivuna
2026-07-07 14:00:49
118
SENSICALCHURCH :
Pump 3 za Kuvuta Maji 7.5 HP - 6M; Kufunga Duara Matimba Semi 3 ni 9M; Kulipua kila Tundu 60K ulipue Tundu 400 hiyo ni 24M! Pipes za Maji na Nyaya za Three phase hujaweka Engine ya kufua Umeme ni Kama 5M …. Mweleweni huyo mama! Anaongea UKWELI.
2026-07-08 04:19:07
25
MKAKA WA MBOLEA 🌽 :
Hata 50m haitoshi 😀😀
2026-07-07 14:50:38
66
Mrs ramzan Bashiri Pyaral :
nilipoteza milioni 80 nilirurudi na milioni 8 tu sina hamu
2026-07-07 16:05:07
93
Milly💫 :
Sitasahau namimi nilienda na million 90iikapotea tu😭😭
2026-07-08 04:29:56
5
mimah :
niwe na milioni 200 nifanye kazi ya nn sasa na ela ninayo😄
2026-07-08 04:49:41
7
Ney toto :
Duh! Kumbe safar bado nindefu sana kaz ipo
2026-07-07 14:56:48
33
Thekid_fx :
sio kwel, kwa anae anza mil 10 inatosha sana
2026-07-08 01:34:42
8
Merlinone94Robert :
utakuta kipindi anaanza alikuwa Hana hata mia
2026-07-07 15:28:59
23
Paul Lameck :
Kuna siku moja kaka mmoja aliwahi kuniambia ukiwa na milioni mia 400 kwenye biashara ya madini hata plant tu haiwezi kujenga ikamaliza nililia sana😭😭😭
2026-07-07 22:10:59
5
user9430752489140 :
ni kweli ela ndogo sana
2026-07-07 18:06:23
13
Yunus Abeid :
Mgodini iyo ni hela ndogo sana
2026-07-07 16:07:41
18
King David :
huo ni ukweli mtupu
2026-07-07 18:44:55
10
Fefe sadick :
nilipoteza million 60 nikrd na milion 1 😅
2026-07-07 16:19:00
11
Beaczonic :
wakurya tujuane mbaneee🥰
2026-07-07 18:16:37
7
#VenithaInspo💪💡 :
M nna mtaji 1M napendeza ila wenye 200M ndo hv jamn😳 au hiz pesa zinabagua
2026-07-07 17:53:28
14
mama G og :
kabisa me nilienda na milion 30 mhmh sina hamu
2026-07-07 17:26:45
8
nicholaus :
mamae
2026-07-07 11:55:11
9
najma♥️♥️♥️ :
nilienda na million 100 nikarud na laki 5 😭😭😭😭
2026-07-08 05:01:37
2
borson :
anaonge ukweli mm nimepoteza bilioni2 na nusu mirerani na sijapata mawe niatari sana
2026-07-08 04:40:12
3
Mugunda :
nipe order mama
2026-07-07 19:16:02
4
YUSRA😘 :
kweli kabisa mm ni shuuda mzuri kwa mume wangu madini ni kiboko sina amu
2026-07-07 20:46:20
4
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.