@khairiyyatvtanga: *KUANDAMANA HAITASAIDIA KITU,TUJIKITE KWENYE KULETA MAENDELEO NA KUJIKWAMUA KIUCHUMI,MUFT AWAONYA WAUMINI WA KIISLAMU KUANDAMANA* Tazama Gusa Link Hii utazame Full https://youtu.be/ZXlf-ECXobg Gusa link Juu Tazama Mufti Amewataka Waislamu kutumia Muda Mwingi Kutafakari namna Gani wanaweza Kushika maeneo (Ardhi) na Kuwekeza Kwasababu ya Maendeleo na Badala Yake Kuacha mara Moja Kuwa Na Mipango ya Kuharibu Amani Aidha Mheshimiwa Muft Ameongezea Kwa Kuwapongeza Viongozi wa Serikali Akiwemo Raisi Ya Kwamba pindi Tunapowahitaji Kwenye Mambo Yetu Wanatusaidia Sana Hivyo twendeni Kwenye Ofisi Zao Tukaeleze Shida zetu Hayo Aliyasema Mheshimiwa Muft katika Kilele Cha Maadhimisho Ya Sherehe Za Kielimu Shamsu Lluha Day 2026 Tazama Full Usisahau #comment #like #share #subscribe Katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV Mawasiliano 0622 166 959

Khairiyya online Tv
Khairiyya online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 11:01:06 GMT
34315
1039
82
24

Music

Download

Comments

emergingsniper
STREET INFORMER :
Asee Dini haipimwi Kwa cheo Wallahy, this is pure politician
2026-07-17 19:26:52
0
pasha.khamis
Pasha Khamis :
takibili shekh walidi
2026-07-17 18:07:34
0
mohsinhinai
Mohsin Hinai :
The headquarters and main branches of the Revolutionary Party (CCM)
2026-07-17 13:26:55
2
spear1460
spear1460 :
vibaya kusema maneno haya lkn mufti ungezidisha kuwa na hekma samahan ikiwa nimekosea
2026-07-17 20:05:33
2
kisukukunja
Kisu :
kwn hyu ndo mufti au?
2026-07-17 12:41:16
3
huslymaarifa
Husly8 futbal⚽️ :
huyu mufti ni mtu wa siasa sana.....
2026-07-17 19:08:10
0
jambu.wa.mando
jambu wa mando :
simuelewi mwenzenu nisimulieni kwanza
2026-07-17 11:29:25
6
user2974149701118
ahsa :
kwan anasema nn
2026-07-17 13:29:39
3
9thespiritofhealing
Maasai herbs point :
mungu ikikupendeza mtoe huyu aingie shekhe waridi🥰
2026-07-17 13:56:43
2
dar_picha_safi
DAR PICHA SAFI :
2026-07-17 21:16:56
0
salehe_simba
Salehe Simba :
kuandamana sio fujo mufti.
2026-07-17 18:07:26
1
zahoromzee
Zahoro Mzee :
adui wawaislam niwaislam wenyewe
2026-07-17 21:55:26
0
azhar.msii1
Azhar suhayli :
Mungu akupe kheri nyingi sheikh wangu
2026-07-07 11:05:44
6
patenabahanidynasty
Nabahani Dynasty-Pate Island :
Maneno ya mufti sio mazuri,hio ndio inasababisha vita,hajaona nchi huketwa polisi telee na mandamano yakaendelea.asijidnaganye
2026-07-17 07:54:22
1
kisukukunja
Kisu :
mm sishangai kwa yaliyo mkuta shekh walid kw uwepo wa muft km huyu
2026-07-17 12:43:15
2
kisukukunja
Kisu :
umuft na siasa
2026-07-17 12:41:57
1
swahib.yaasin
Swahib yaasin :
Acha kejeli mzee
2026-07-08 06:22:54
2
shekhe.tinno
Shekhe Tinno :
Mashalah maneno mazuri yalio jaa hekma kubwa ala akupe afya njema
2026-07-09 14:32:52
0
user5364942274376
Master :
kwa samia kumetulia sasa nkwa muft
2026-07-17 20:50:11
0
abloyal._
ابو بكر :
Kwani huyi ndio mufti?
2026-07-17 21:15:21
0
doyz.04
Doyz.04🖤💘💯 :
Uo mdo mchezo wa sistimu ulivo kutoa watu katika reli watanzania wote wamejaa at kuelewa hatuelewi hebu tushtuke apo kuna jambo jamn
2026-07-17 21:05:47
0
najjim.massud
najjim massud :
ah jamani hatuna mtu apa
2026-07-17 21:29:46
0
ommychamosi68
Ommy Chamosi :
Zalau big time au vipi
2026-07-17 21:40:07
0
To see more videos from user @khairiyyatvtanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About