@prince.starbon: Replying to @user8808039933149 🐓 Kuku wangu alikuwa na mafua makali, macho yamevimba na hana hamu ya kula. Nikatumia aloe vera, kitunguu saumu na huduma ya maji ya uvuguvugu yenye chumvi kusafisha macho na sehemu zilizoathirika. Muhimu zaidi ni kumtenga kuku mgonjwa, kumpa maji safi na kuhakikisha banda lina hewa ya kutosha. ⚠️ Ukiona hali inazidi kuwa mbaya, tafuta ushauri wa daktari wa mifugo mapema. ❤️ Afya ya kuku huanza na usafi na uangalizi wa karibu. #KukuWaKienyeji #fypviralシ #creatorsearchinsights #mafingatanzania🇹🇿 #tiktoktz