Mimi ni timu Messi ila kwa hili football ni mchezo wa kikatili sana imeniuma walahi.
All in all Cr7 ni moja ni best player mwenye juhudi sana but alichokikosa ni timu tu ya kukamilisha ndoto yake hiyo but atabakia kua mchezaji bora mwenye ushindani na hatari.
Lakini mwisho wa Siku the only 🐐 MBUZI a.k.a G.O.A.T atabakia kua Messi the pure football talent.
POLE SANA CR7.
2026-07-07 15:16:04
171
🌴 b3ry4ly_10 🏝️ :
next world cup ronaldo
2026-07-07 14:03:56
53
Sumai Juma :
hyu dj wawapi wakuu ☺️☺️
2026-07-07 15:42:03
46
Dr fredy :
Baado messi🤣🤣🤣
2026-07-07 14:42:23
27
Osmond CJs :
😂😂
2026-07-07 15:38:34
33
iphonedealertz :
Just may be
2026-07-07 16:42:54
15
Daytona Ntwale :
mimi ni shabiki wa mese lakini huyu jamaa namkubali sana sio mbinanafsi na huwa anajituma sana
2026-07-07 19:44:19
24
Mary Ignatus :
Kaka ww hutabaki kuwa mchezaji bora tena bora zaidiii pia huko na pesa mingi so machozi sio shida zako🥰🥰🥰
2026-07-07 20:53:37
17
ATUKAI SANAAA🙍🏾♀️ :
na messi akitoka kombe nila mbappe
2026-07-07 15:11:40
18
𝚖𝚊𝚗𝚞 𝚐𝚑𝚘𝚜𝚝 :
imeni pain mm Kam mwanaume😢😢😢
2026-07-07 14:40:54
33
dain :
nani kasema bado mess
2026-07-07 18:42:14
7
MALIKALE MUSIC ✅ :
MASHOGA WA UWAWEEE
2026-07-09 06:43:00
8
Kachala98💎 :
Next next next 20230😅
2026-07-07 14:25:00
5
M✨P⚡ :
walio umia ronando kutolewa weka like
2026-07-08 08:47:47
23
mariam :
nimeumia nakukubali sana CR7🥺🥺
2026-07-08 17:51:56
7
Itc XeddY🎲 :
MESSI THE GOAT🐐
2026-07-07 18:59:35
5
Abd Beka :
umetisha kinoma aisee
2026-07-07 15:37:16
5
Steven lorenzo :
50/50
2026-07-08 04:25:43
1
Hunter Jr :
ivi uyu dj anaitwa nani maana kanifnya nikumbuke mbali sana
2026-07-15 09:05:56
0
Talented colah :
Nmeumia wallae😩
2026-07-08 10:15:25
3
Feisal Mussa :
jaman uyu dj anaitwaje?
2026-07-09 18:21:30
1
YANGA BINGWA💚💛 :
2026-07-08 17:03:30
2
𝕶𝖎𝖓𝖌 ✞✞𝖊𝖉𝖉𝖞👑✞✞ :
Wale 10 /10 mje chap nalipa
2026-07-09 10:29:07
0
To see more videos from user @msisimediatv, please go to the Tikwm
homepage.