I like the way unavyompa distance...wewe ni driver, 🙏🙏...apo ukiamua kuivuta iyo Mazda Bado inadai na ukampita..ila umezingatia uendeshaji bola... salute 🫡
2026-07-21 08:19:54
3
damasi_hd :
bila kuchoka
2026-07-17 07:06:52
1
Hone09 :
umejarb lakin sio mbaya😂😂
2026-07-17 17:19:53
1
CIRCLE MOTORS LTD :
hii ndo wanaita mwendo wa ngiri 😂
2026-07-18 11:23:22
1
Avohjr..$💖💖 :
mzeee iyo kituu sahan yake ni 200
2026-07-18 23:36:36
3
ivany,,, update 🌍 :
we una iyooo itachemshaaa😂
2026-07-17 15:09:36
1
JOH LEONARD :
Mungu akubariki kijana umesema ukweli 😂
2026-07-17 11:00:43
1
Scott idriss (mbeya boy) :
na bado hapo kakulegezea sana 😂
2026-07-16 20:26:55
1
kelvin :
hahahahahahha msiwe mnajiamlia mambo bwanaaaa ila sema nawakubari sanaaa wazee wa kujitekenya harafu mnacheka wenyewe
2026-07-16 09:35:34
1
Libe Masai :
Mazda uhakika
2026-07-09 07:04:18
1
cornel_conaldo🔹️ :
sasa uyuuuuuuuuuuuu 😂
2026-07-16 09:14:07
1
mholo 01 :
tangu lin 1.8L ikaikamata 2.8
2026-07-20 13:31:18
1
KEEVO SCOTT TZ :
uhakik famlia
2026-07-24 16:10:33
3
Jackson :
nimeona kibao cha 50 nyie mmepita na 175
2026-07-26 18:48:44
3
~Bry🔹 :
maliza180
2026-07-16 11:46:00
2
@MALBORO MAN 🇹🇿 :
na hapo yuko na familia angekuwa mwenyewe ingekuwaje sasa
2026-07-19 05:12:06
2
nathan ngailo :
apo labda ungekuwa na mazda ya speed 260 lakn hiyo aiwez kak
2026-07-18 12:36:03
1
mr_unknonwn :
🤣pole xan
2026-07-08 07:01:10
1
To see more videos from user @kaka_mgogo, please go to the Tikwm
homepage.