@bongoplustv: Alichokizungumza djsmaa kuhusu suala la wana harakati pamoja na agenda zao "Wanaharakati wengiwanalipwa kwaajili ya kupush ajenda" 🎤#djsmaa Full interview video tumekuwekea YouTube channel ya bongo plus tv kuitazama zaidi.. #exclusive #bongoplustv

BongoPlustv
BongoPlustv
Open In TikTok:
Region: GB
Tuesday 07 July 2026 12:18:58 GMT
90382
3393
164
525

Music

Download

Comments

leemoe255
Lee Moe :
Okay sawa kaka...vipi swala la utegaji ni ajenda ya nani?
2026-07-08 07:34:40
33
user3357271251654
user3357271251654 :
uongo pro max
2026-07-07 21:18:37
16
user041062355
Eagle Man :
Jibu swali kwanini watu wanapotea? na hii ni agenda ya nani?
2026-07-08 08:18:01
14
linah.mideko5
linah mideko :
yaani kwenye maisha yangu uwa nachukia watu wanaojifanya wanajua sana
2026-07-08 15:16:18
24
user7294238185900
natunae :
Wanalipwa na nani kwa interest gani na ya nani?
2026-07-08 15:07:06
8
wabibi11
Baba T :
ni kwel kk
2026-07-08 04:11:28
12
cities_lab
Pluto :
We mwenyewe mwanaharakati, na hapa una ajenda. Nani kakulipa?
2026-07-10 08:26:24
7
amoskapepeta
amoskapepeta :
hao wanao fund wanaharakati wanafaidika na nini?
2026-07-09 07:30:27
3
nangera70
Nangera :
WAMEFELI A THOUSAND TIMES.
2026-07-07 17:52:53
7
hamzakassimmbasha
Tb8MHaza :
vipi na watu kutekwa ni agenda ya nani dj kipara
2026-07-08 16:00:46
9
bloodforex
Blood Forex 0663 :
NJAA TU
2026-07-08 22:56:45
2
silviaj12
silviaj12 :
UNFOLLOW
2026-07-08 20:55:56
2
majungu7
Majungu :
njaa mbaya
2026-07-09 01:12:14
6
trainwithmudy
Muddy-A'town-trainer :
smaa💪💪💪💪💪💪💪💪
2026-07-08 03:24:37
6
oscar.msuri
Oscar msuri :
unfollow
2026-07-08 21:15:50
0
user68081172156148
Mzee Uganga :
Safi bro....Taifa letu, Amani yetu no muhimu.
2026-07-08 13:03:43
8
user3016968720190
DADY BORA :
amba mungu usiwe choko kama dj smaa
2026-07-09 10:43:02
5
sternrem
¥sternrem :
vipi kuhusu wanaharakati wa uhuru walilipwa na nani
2026-07-09 12:25:40
5
tellingjadysf
Telling Jad Ysf :
Acha uwongo diaspora lazma wawe mbele kwa kuwa wapo na uhuru na Hawa hofu kitu lazma wazungumze ukweli
2026-07-15 11:29:29
1
hanifa.urassa
Hanifa Urassa :
Ni kweli kabisa
2026-07-10 19:29:33
2
mbilu.steven
Mbilu Steven :
sijui jiarabu Koko
2026-07-08 20:48:20
1
user8200987681007
Easy smile :
Jamaa anafanana na Vin diesel
2026-07-08 14:56:20
4
nihan_samir
bar cute Nihan :
That's is true
2026-07-09 07:07:11
4
user6676151112854
MALIKALE MUSIC ✅ :
MASHOGA WA UWAWEEE
2026-07-09 12:05:21
4
tujenge_pamoja
Tujenge_Pamoja. :
Ni kitu kipo wazi wanaharakati wote wako na Agenda including you (Mwanaharakati). Unfortunately Agenda zenu zote haziko kwenye maslai ya Mwanachi wa kawaida
2026-07-10 11:59:04
2
To see more videos from user @bongoplustv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About