I love my husband 😍😍 jamani mpaka tuliwahi tulifukuzana😅😅😅 tuliachana akaowa nika olewa. jamani kila mtu ndoa ilimshinda and we still together. And InshaAllah atanizika au nita mzika.
2026-07-09 14:16:16
10
Ummu Said :
mimi na mume wangu jamani 🥺
2026-07-07 14:16:40
18
Call me_Dorry🦋❤️🔐 :
Me stk bhn usiongee hvy asije kurud buree🥺
2026-07-07 20:10:31
9
ATIF KHAMIS :
daaahh nimeamn hakun fund wa mapenz
2026-07-08 03:13:16
7
mrs me🌹🌹 :
tushaachana karbia mar3
hatwez wa waallah mpk now 🥰🥰🥰
mm nnayo
2026-07-10 07:56:24
1
The-Light :
Huyo ni mm kabisa 🥹🥹naombeni ushauri🥺
2026-07-09 14:20:26
6
Queen Irene🥰 :
hii ndo maisha yangu ya uwalisia😅🙌 tuna watt wawili sasa shida ndo alikuwa wakwaza kwenye ulimwengu wangu wamapenz nampend ivyo ivyo mchag wangu