@mwl.emilian.katub7: Mwanzo 21:6 Sara akasema, Mungu amenifanyia kicheko; kila asikiaye atacheka pamoja nami. Ooooh kumbe Mungu anaweza kumfanyia mtu kicheko kwa kumfanyia muujiza na kumpa kitu au jambo uliloliomba kwa muda mrefu I can't wait kwakweli na Mimi kufanyiwa kicheko Ikiwa unatamani na wewe kufanyiwa kicheko Jiandae kwa ajili ya Mkesha huu Mkubwa Ambao utafanyika TAREHE 31.07.2026 SUMA JKT MWENGE UKUMBI WA UHURU HALL Kwenye mkesha huu Tutaomba Tutaimba Tutacheza Tutajifunza Neno la Mungu Lakini pia Bwana atatufanyia kicheko Yaani utakuwa ni Mkesha wa Baraka sana sana USIPANGE KUKOSA!!!!!!! #Lordit 'smeAgain #Usikuwakufanyiwakicheko #panasautiyamvuatele #Wabebarizikiwafamilia