@emmanuel.page5: Kfng No 174 cha sheria yetu ya public health Act kinakataza mtu yoyote kujisaidia sehemu ambayo sio chooni….adhabu inaweza kua faini ama kifungo sio chini ya miezi sita ama vyote kwa pamoja…..💔

EMMANUEL🌎
EMMANUEL🌎
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 14:02:10 GMT
11339
381
18
9

Music

Download

Comments

kassimmilanzi522
Kassim Alfan :
blessed brother
2026-07-07 18:04:33
1
maxhahilux
maxhahilux🚛 :
sisi ni watani watajua wenyewe
2026-07-07 17:12:59
2
leasure.gamer.efootball
leasure gamer :
endelea kusubili faini
2026-07-07 15:32:33
2
said.maturubai
Said Maturubai :
walete ushaidi
2026-07-07 15:35:30
4
feysaza
Ms fey :
Video zipo mkuu ila amna shida sie ni watani 😁😁
2026-07-07 15:57:05
0
elipidiuskaihula
PdkOfficial :
watu wa mabus
2026-07-07 15:15:55
1
haniffa135
Haniffa1 :
Usitikise ushaidi
2026-07-07 14:48:19
1
66tyazoboy
Tyazo Boy :
broo ukweli hakunaa aliekunyaaa walikojoaa tuu
2026-07-07 19:34:46
0
denny_ctz
am denny-c :
Walienda kuchimba dawa sio kujisaidia mtaalam
2026-07-07 19:36:45
0
naswolf19
UFO-320i :
Ushahidi ni upi?
2026-07-07 15:58:26
0
michaelkavishe8
michaelkavishe8 :
Hyo faini lack 1 tulalipa
2026-07-07 19:08:24
0
brunofidelis214
Bruno Fidelis Tz :
Kwan nan aliyejisaidia?
2026-07-07 19:25:36
0
nyaigoti0
Nyaigoti :
👏👏👏
2026-07-07 14:33:34
0
To see more videos from user @emmanuel.page5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About