Hii nyimbo usikilize kipindi ambacho unajisikia kuchoka na kukata tamaa na kuhisi huna mkombozi katika maisha yako utakuja kunishukulu🙏
2026-07-12 14:03:39
58
_.roxyb :
Sometime Haijalishi unapitia magmu kiac gani…..unakata tamaaaa kiac gani jaribu kufukiri ukuuu wa Mungu hope itasaidia hata ww kuwa sehemu y hayo unayupotia pia n Neema
2026-07-16 22:11:12
1
13 ✌️ :
papii kocha ni mmoja kati ya mfungwa aliopewa msamahaa wa rais Magufuri 2016 na Akaimba Hii nyimbo Kwa wakati ulie🥺🥺
2026-07-12 09:42:57
7
Ney wa mom 🤗🥰 :
hii nyimb nyie achen2🥺
2026-07-11 17:40:59
37
🌹babe witty💦 :
Uuu wimbo wangu😭😍🙏
2026-07-12 08:24:05
2
rebyyy :
naipenda sanah inatia nguvu sanah kuna mdah tunakataa tamaa sanah😭😭😭
2026-07-12 19:17:41
2
shabanidiblotz :
wimbo wangu Bora wa siku zotee🙏🙏
2026-07-12 17:48:24
2
aydear lover :
wala huku kosea njia mungu wamby
2026-07-11 05:34:23
7
malaika❤️ :
mungu wambieeee niwewee tu uliesababisha leo imefika🙏
2026-07-16 21:02:16
1
_neyy :
I’m Muslim but I like the song
2026-07-12 11:52:23
10
saudaa :
inaitwaj
2026-07-10 09:46:51
6
𒆜𝑨𝒆𝒎 𝑻𝒉𝒂𝒍𝒊𝒙𒆜👻 :
Mungu waambie😭
2026-07-10 20:25:36
2
Mis-zae🧿 :
Mungu waambie uliposema huwaja wala hukukosea njia na ulifka my favorite party🥹
2026-07-12 20:42:28
4
Dee cutee 01 og😘 :
nakumbuka alivytoka jela hii nyimbo daaahh
2026-07-11 08:06:21
7
Neme Boy :
handsome in tz 🥺
2026-07-11 20:00:54
2
mamy fatty :
ni yeye tuuuu🥰alhamdulillah🙏🥰
2026-07-11 03:43:32
1
Nuu Trishy👩♥️ :
Daah hii nyimbo mbn imenitoa machozi
2026-07-23 19:22:09
1
bakari :
hatupaswi kukata tamaaaa
2026-07-11 16:31:31
6
Angeljoel :
ndo huuu
2026-08-10 10:42:39
0
MALAIKA🍧♈️BBEST♥️1423🥀❤️🩹 :
N
2026-09-25 18:30:15
0
Boyosafi :
🥰 Sikujuaga km ww ndio umeimba hii nyimbo
2026-10-20 12:14:42
0
pre❤️momy :
Amen
2026-08-22 19:35:41
0
user53183316871 :
hii nyimbo iliimbwa kwa hisia sana!
2026-08-12 21:11:07
0
Jojo🍭🍬 :
2026-07-10 13:59:21
0
To see more videos from user @flyrics6, please go to the Tikwm
homepage.