@batibora2: MKATAA KWAO NI MTUMWA

BatiBora✅
BatiBora✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 15:16:48 GMT
81546
3354
414
248

Music

Download

Comments

user2409874191308
faiza_• :
mashalhaa
2026-07-15 09:23:30
0
chinyavukalume
mamake01 :
niambieni nkachunge ama nkalime lakn hii spendi🤣🤣
2026-07-15 07:31:57
0
lupugobonaventura
lupugobonaventura :
naijua hii
2026-07-15 11:52:48
0
finadanielfinadan
lady fina :
Rip my lovely momy
2026-07-14 10:54:05
2
suzy.mangulisa
suu_152 :
waoooooooooo
2026-07-15 17:00:53
0
zubeda0389
zubeda :
mashall
2026-07-14 18:20:13
0
fredy.wiz
fredy :
tulio pitia maisha haya tujuane ndg
2026-07-15 09:46:58
13
jamila.ayubu2
Jamila ayubu :
tulopitia maisha hayo tujuane ❣️❣️
2026-07-07 18:15:07
137
rebeccajumanne539
Rebecca :
nimetwanga sana mahindi ya makande ND ilikuw kaz yangu hiyo
2026-07-14 11:19:16
9
julianashija6
JULIANA❤️ :
umenikumbusha kahama kahama kwetu
2026-07-14 12:10:11
7
user6792613571169
A'm scola :
Nilikuwa natwanga debe Zima la mihogo bibi yeye anachekecha tu nyie acha🥰🥰🥰
2026-07-14 11:00:15
6
mwakama7
mwakama :
waah siwez sahau kwa kweli
2026-07-15 09:21:53
0
user9281315061052
Warda Kulola :
mashaallah
2026-07-14 13:27:21
0
love630843
Hmd🙈🙈🙈 :
mashallah nimekumbuka nyumbani kwetu
2026-07-14 16:39:21
0
mariathomas293
MariaThomas :
daaa nimefanya sana kazihii
2026-07-14 12:49:12
0
user9926372024161
mode love :
mmenikumbusha mbali ndugu zangu jamani👌👌👌🥰
2026-07-14 18:30:57
0
user2110174103584
prisca :
tupo wengi nimekumbuka mbali
2026-07-14 14:23:03
0
user5599671618101
Facks mnyama :
penda chana
2026-07-14 21:17:48
0
user6602220266851
nice :
jaman hadiraha
2026-07-14 13:17:21
0
damuyatz
Damu Ya Tz :
jamn nime ikumbuka mbar
2026-07-14 13:30:41
0
mwajabuzara457
singano :
mungu awajalie mkue Kila moja awe na kwake
2026-07-15 08:38:22
2
tufesenk
user6888815247084 :
hakuna kitu nilikua sipendi kama kukoboa mahindi na mpunga aaah ila hela yakwenda mashine hakuna inabidi kupambana tu 😄😄😄 ila kinyonge
2026-07-15 11:47:48
1
magungumagungu
hussein mg :
dah zamani sana kak tukiwa tunakuwa
2026-07-14 15:18:54
1
ruu.mapande
Ruu mapande :
kazi nilikuwa siipendi hii nilikuwa nawaambie nyie twangeni me nitachunga 🤣🤣 basi nikitoka apo kama zombi 😂
2026-07-15 05:33:42
3
siphajaphar
SIPHA :
tulipitiya nasisi jikazenitu nawapenda
2026-07-15 08:35:24
2
To see more videos from user @batibora2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About