@bambalivetz: Wakati mwingine si uzembe wa akili, ni kutokujua. Leo nawachanua Sasa ngoja nikupe siri muhimu: Vodacom haitawahi kutumia namba binafsi kukutumia ujumbe,Namba rasmi ya vodacom ni 100. Ukipokea ujumbe wa ushindi au ofa kutoka namba binafsi, usikubali kutapeliwa,Ripoti namba hyo kwenye namba hii 15040 #Sitapeliki #PamojaTunaweza