@akhi_ali5: Mama hukufundisha karibu kila jambo la maisha—isipokuwa namna ya kuishi bila yeye. Ndiyo maana uwepo wake ni neema isiyoweza kufidiwa. Mthamini, mpende, na mheshimu akiwa bado upo na yeye, maana hakuna anayeweza kuziba nafasi ya mama. ❤️ #creatorsearchinsights #viralvideo