@luqman.j4: Muammar Gaddafi 🎙💻 Military officer and former Prime Minister of Libya Ni kweli Mtume ﷺ hakuleta jina la "Sunni" au "Shia". Alisema: "Nimewaachieni vitu viwili, mkishikamana navyo hamtapotea kamwe, Kitabu cha ALLAHﷻ na Sunnah yangu." Uislamu ni mmoja tu Tofauti za madhehebu zimetokea baadae kutokana na masuala ya ki-fiqh na siasa. Lakini msingi wetu ni mmoja tu , La ilaha illa Allah☝, Muhammadur Rasulullah.🖊 Allahﷻ atuongoze sote kwenye haki. Amina 🤲 #prophetmuhammad #deenoverdunya #islamicreminders #sunnishia #trendintiktokviralvideo