@bbcnewsswahili: Wakati wa sikukuu na matukio ya baraka, watu wengi huchoma vijiti vya udi ili kutoa harufu nzuri na kuleta hali ya utulivu nyumbani. Hata hivyo, tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonya kwamba moshi na harufu ya udi vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya kwa watu wengi. Je ni matatizo yapi na Kwa nini udi unaochomwa majumbani ni hatari? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #foryou #fyp #afya #udi#manukato#utafiti

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 21:00:00 GMT
27443
799
43
563

Music

Download

Comments

kipendacho_rohoo
KIPENDACHO_ROHOO :
Mwenyezimungu atisaidie maana huku ugaibuni ni kila masaa🤲
2026-07-08 06:12:11
10
hassanbambe723
Hassan Bambe :
SIYO KWELI
2026-07-08 08:44:55
6
mishybarblie
Sheyla💋🌸 :
Mungu anisaidie but nimekua addicted about it
2026-07-08 08:01:57
2
iteshnarendra4
Itesh :
sio kweli
2026-07-08 09:06:15
1
official_taimah
It’s_taimah♑️ :
Me nashindwa kuelewa😁😁😁
2026-07-07 21:02:54
8
hammam.albusaid
hammam Albusaid :
mtuacheeeee
2026-07-08 09:47:37
1
mayugwacomedian
MAYUGWA COMEDIAN :
perfume je?
2026-07-08 07:53:11
2
7girl10
Mr’s 26x :
Mmm navyopenda udi uwii 🥺
2026-07-08 09:05:18
1
nusra9241
nusra :
Tunaofanya kazi uku gulf jmn 😥😥
2026-07-08 07:54:13
0
diiidahstyle_oudscents
diiidahstyle_oudscents :
heee sasa itaakuajee namimi ndioo muuzajii na mimi ndioo natengezaa 😅
2026-07-08 10:29:35
0
0fficial_tourtz
Tour🇹🇿 :
wanaokula fegi gonga like
2026-07-08 09:00:19
0
kipyuda_wa_family
mounah love 💕 :
kweli kabisa mimi mwenyewe muhanga
2026-07-08 07:46:42
0
ashiru2502
Ashiruna 002 :
duuh gudu bai!
2026-07-08 08:16:48
0
peaceabesiga
Peace Abesiga :
mbaya sana
2026-07-08 07:11:01
0
wardasong....8999
.Cute from Tanga..💍..🔥. :
Nilichogundua Ao Walofanya Utafiti Ni Wachafu na Wanakauchawi Mwilini Mwilin Mwao😁🙌
2026-07-08 08:16:59
8
peaceabesiga
Peace Abesiga :
Hakika👏👏👏👏👏👏👏
2026-07-08 07:10:35
0
shokunin33
The Shokunin :
facts
2026-07-08 10:09:41
0
tatumachumu287
a Muslim girl(Tatu) :
heee chemical inatokea wapi wakati udi unapikwa kama chakula tuu
2026-07-08 09:19:26
2
zeyanah_04
زينه🌸 :
siwezi kuacha kila nafsi itaonja mauti🥺
2026-07-08 08:12:27
3
ramlafadhil
Rafakha :
kama mlivokua hmuwezi kuacha pombe nasi hatuwezi kuacha udi lkn asante
2026-07-08 08:47:08
1
usermrsndaike
Aisha :
Kila kitu kina madhara Mungu yupo pamoja nasi
2026-07-08 08:25:25
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About