@itsmoseley: ZUCHU AMUONYESHA MTOTO MARA YA KWANZA NI MREMBO BONGO NZIMA HAKUNA KAMA MTOTO WA DIAMOND #moseley #foryoupage #goviral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

MOSELEY ✪
MOSELEY ✪
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 07 July 2026 17:07:17 GMT
187751
12416
279
219

Music

Download

Comments

mam.g780
mam g :
akikupenda mumeo inatoshaaa🥰
2026-07-08 08:51:36
316
zaituni.kassimu1
Zay🥰 :
Mama na Wifi sioshida zangu😁😁😁😁 Mume wangu ndio kilakitu kwangu🥰🥰
2026-07-08 17:31:20
78
justakinyi7
Beryl :
Hongera Zuchu
2026-07-08 16:44:08
1
bellakwiji005
Bellah’s Touch :
Akikupenda mume tosha
2026-07-08 17:12:08
59
jamilashabani685
Jamila Shabani :
ZUCHU WAPENDE SANA WABAYA WAKO MUNGU NDIO ATAWAAIBISHA TEEEM ZUUUU MPOOOOO GONGENI LIKE ZANGUVUU❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋
2026-07-08 06:09:50
99
pendosamwel78
Emmy,, :
akimpenda simba inatoshaaaa
2026-07-08 14:30:13
32
evelinamassawe
Evelina Massawe :
hongera sana dd zuchu usijali akikupenda mumeo tu inatosha
2026-07-08 11:31:49
36
zaituni.mahiga
🥰💐baby zuu💐💐🥰🥰 :
hongera sana zuchu
2026-07-08 05:33:29
1
dianachacha332
Dee cute ❤️‍🔥 :
Akikupenda Mungu inatosha
2026-07-08 14:21:33
40
user7146698385727
user7146698385727 :
hongera kipenzi wao si Mungu madam umejifunguq salama
2026-07-08 05:10:55
26
dee171199
Dee :
10/10 nalipaa
2026-07-08 11:55:22
6
jacklinaverine
Jacklin Averine :
dada zuchu ongera
2026-07-08 10:27:40
1
dmsvnd
Vanessa243♥️ :
hongera sana zuchu mpango wa mwanadamu sio ya mungu mungu apewe sifa mashallah ivo umejifuguwa salama🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-07-08 06:56:40
20
devota789
devota :
anakupenda bwana inatosha we nenepa
2026-07-08 16:53:08
8
j.mo5391
j mo :
ongela king,ang,a umemzalia
2026-07-08 04:26:17
5
kisakye.jenny
Kisakye Jenny :
congratulations 🎉🎉
2026-07-08 18:27:53
0
user410380084810
hawat :
hongera
2026-07-08 08:38:51
3
agnetha58
agnetha58 :
Hongera
2026-07-08 09:51:33
1
dahuumamuya
MA MAYELE 🇹🇿 :
Akikupenda mumeo anatosha mdogoangu hongera sana ♥️
2026-07-08 12:36:32
42
5359ann
Annie♥️♥️ :
hongera sana zuchu mungu!!! ndo Kila kituu wanadamu,,,akikupenda mama inatoshaa
2026-07-08 12:13:12
14
madame.idaaah
madame Idaaah :
mi mwenyewe mama mkwe wangu hajaja kuona mjukuu wake mpk sasa hv ana miaka miwili 😁😁😂
2026-07-08 16:12:10
6
octaviana6807
octaviana :
kuchukiwa na wakwee duniani hapa tupo wengi sana sana ila akikupenda mungu na mama inatosha zuchu mungu akulinde na binti yako
2026-07-08 08:31:24
11
badriya.abdalla6
Badriya Abdalla :
Zuchu Congratulations my dear take care of your new baby 👶 that's a gift 🎁 for you be happy n have confidence with your baby Allah is with you
2026-07-08 05:54:35
13
zabibu.0
Zabibu :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-07-07 18:28:17
7
helenesifa259
sifahelene :
mama mzazi anakupenda bwana anakupenda Sisi mashabiki tunakupenda na marafikiwakaribu wanakupenda hizo ngombembili hazizuwiyi kitu
2026-07-08 17:35:45
7
To see more videos from user @itsmoseley, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About