@nyaka_afya: Mambo ya Kuepuka Unapocheza na Mtoto Ili Kulinda Uwezo Wake wa Kuona na Uhai Wake. #shakenbabysyndrome #255767291292 #MtindioWaUbongo #foryou #folicacid

Nyaka na watoto
Nyaka na watoto
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 07 July 2026 17:42:50 GMT
75261
1591
31
523

Music

Download

Comments

user3235812780428
katish :
Mungu wangu nisamehe mm sikujua,, eeh Mungu naomba unilindie mwanangu 🙏
2026-07-09 09:51:35
10
nyota.aheyo5
Nyota Aheyo :
Asante nimejifunza mengi kwako
2026-07-08 13:34:05
2
user25016396242104
user25016396242104 :
docta asant kwaushauri
2026-07-23 22:08:31
0
hamadikhamis6
hamadikhamis239 :
mm mwanangu anamiezi miwali ila apati choo inapata wiki sasa
2026-07-10 12:05:50
0
user4823238638582
blessedwomen :
Ahsante Sana Dr
2026-07-08 14:52:27
1
catherinefrancins
catherinefrancins :
asantèe sana kwa funzo
2026-07-08 09:05:57
0
uungwa
uungwa :
Asante, hiyo ni kweli
2026-07-08 17:54:21
1
sallykip
Sallÿ🥵✌️ :
Sante kwa mafunzo
2026-07-08 19:14:08
1
user0996983079
merlanne Moda🎽✂️ :
asante sanaa
2026-07-20 21:16:54
0
user34706999457603
mutchaila la joie :
Merci beaucoup
2026-07-19 12:00:48
0
user3701208675341
ivan :
asante sana kwa ushauli kaka
2026-07-09 12:36:57
1
habby.muhomba
Mrs R ❤️👋🙏🔐🔐🔐🤫 :
kutana sas na madocta wa mtaan utasikia uyu mtot unamfanyisha mazoezi kwer jaman ata atuelew ee mungu tulindie vizazi vyetu🥰🥰🥰
2026-07-21 17:29:46
0
fazili758
fazili :
asante
2026-07-10 21:35:34
0
esty981215247
Esther D'Elie E❤️E :
asante sana babangu kwa mafunzo
2026-07-11 17:40:55
0
user20040490932497
éloge de tresor :
aksanti
2026-07-11 14:02:42
0
hamadikhamis6
hamadikhamis239 :
mm mwanangu anamiezi miwili anamaliza wiki sasa apati choo
2026-07-10 12:03:55
0
fayv__24
𝐅𝐚𝐡𝒾🌸 :
Me wangu alikua na week walikua wananihudumia walikua wana mgeuza kichwa chini miguu juu nikiwakaza wanasema mazoezi looh niliomba wafanye mwendo🙌🏽
2026-07-09 16:48:43
0
btwelve1
Betwell :
Madaktari wengi siku izi mtt anazaliwa tu wanamuweka kichwa chini miguu juu ili alie
2026-07-16 05:22:16
0
gloria.asma
gloria asma🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-08 16:30:11
1
fabiola.jacob6
Fabiola Jacob :
😁😁😁
2026-07-08 06:43:21
1
fridanestory470
Frida Nestory :
🥰🥰
2026-07-09 01:07:11
0
nicole.solomo
Nicole Solomo :
🥰🥰🥰
2026-07-21 12:27:35
0
To see more videos from user @nyaka_afya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About