@maombitibabypasto: Kupiga miayo sana wakati wa maombi #deep

Maombi-Tiba-byPastor-Ndelwa
Maombi-Tiba-byPastor-Ndelwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 18:24:00 GMT
28232
2390
126
124

Music

Download

Comments

esther.beauty.sal31
Esther beauty saloon :
nikiomba na wewe baba nina muona Mungu sana baba🙏🏻
2026-07-07 19:40:55
19
gianamohamedi
Giana codes ✨🔎 :
me Huwa nahisi uoga na nashindwa kufunga ata macho naona km Kuna vitu naviona vyakuogopeaha...
2026-07-23 08:18:54
6
jayphar4036
hearean✨baby💝 :
mm ndo huwa napiga miayo balaa
2026-08-17 16:14:17
2
lihuada0
Lihu Ada :
tuko pamoja baba yangu mungu akutiye nguvu mutumishi wa bwana amen amen amen amen amen.
2026-07-09 06:42:29
3
macymaina00
macie :
mim ni miayo mpk machozi yanatoka
2026-07-09 19:50:19
4
nemacharles402
winfrida :
mimi nimiyayo na kuchoka mwili hata ninapo soma bibilia nashindwa
2026-07-08 13:58:34
10
useranna5613844415210
𝙆𝙞𝙟𝙖𝙣𝙖 𝙬𝙖 𝙮𝙚𝙨𝙪 :
Natamani Mungu anibadilishe
2026-08-17 09:04:41
2
jay.b.boy.omwana.wa.yika
JAY B BOY :
je ukiwa kwenye maombi unajisikia kuchoka kuzid kuomba
2026-07-08 12:15:04
5
bonja36
user9166371551509 :
namiye Mungu aniwezeshe kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-07-08 12:20:27
3
user16790060058850
user16790060058850 :
Amenii
2026-07-08 18:00:16
1
user3128628307133
joyline joyline sheryl :
Amen 🙏 nimejifunza kitu asante
2026-07-09 21:57:03
0
fkonga
Fkonga :
mimi huwa napiga myayo pia uvivu wa kuomba unanijia
2026-07-28 20:59:06
2
ole.tulto
OLE TULTO. 🇹🇿🇲🇿🇲🇿🇿🇦 :
amen napokea kwa damu Yake yesu unilindiye family yangu waponye Kwa damu Yake yesu unilindiye biashara yangu 🙏
2026-07-07 21:23:42
5
user3560956794606
bijoux :
mungu nipe nguvu kushinda Adui wanao nipiganisha
2026-07-08 13:12:26
3
diana.phinias
Diana phinias :
me nimiyayo na kichwa kuniuma na mwili unaishiwa nguv na mapigo ya moyo yanadunda mpk nadondoka me mikono inaniwasha kwny viganja baba angu naomb uniombee nateseka san mpk napt uoga san nikiamka kuomb
2026-07-14 08:10:48
0
johningati146
GOD HAVE MERCY ON ME :
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏 🙌
2026-07-09 05:25:30
1
nacky567
Aries ♈️ :
Amiin🙏
2026-07-09 18:34:32
1
respectyourself006
respect your self :
amen
2026-07-08 11:54:55
1
tupembamarcelin
tupemba marceline :
amen mimi ni myayu kila mara
2026-07-08 09:09:25
2
zanuj1
zanuj1 :
Miayo
2026-07-07 20:50:25
2
yvettevictorine
yvettevictorine :
njomimi apa baba
2026-07-07 20:12:43
2
severina.john
severina john :
mimi napiga miayo mpaka nalia mate yanajaa mdomoni hata kuomba nashindwa mungu nisaidie
2026-07-18 18:02:05
1
money.hurter
Missed call 🤳🤳 :
Amen
2026-07-07 21:15:51
1
noora.oman8
Nora Mach :
Mungu nisaidie mm niweze kufuk ayo
2026-07-08 10:35:03
3
kimodo.byb
Kim dori🇶🇦🇹🇿 :
Ameni🙏
2026-07-07 20:17:19
1
To see more videos from user @maombitibabypasto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About