@touti_tech: Kwa nini wasanii sasa hivi wanatumia earphones za waya?, sababu ni nyingi kama huwezi kuchaji, ni ngumu kupoteza, zina muonekano wa kipekee n.k. Ila sababu yangu kuu ni utofauti. #toutitech

Touti Tech
Touti Tech
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 19:41:15 GMT
19827
712
34
59

Music

Download

Comments

p.r.o.s.p.e.r.i.t.y
p.r.o.s.p.e.r.i.t.y :
Basi mm ni msaniii na waya wangu
2026-07-07 19:45:56
12
rema4813
REMA_ OP :
chaji
2026-07-08 19:05:51
2
regan_chami39
Chami39. Regan. :
respect mwana
2026-07-08 14:11:06
1
atreus.adnan4
GHOST :
lakini ww sio msanii
2026-07-09 16:16:29
1
salman.mnama
Salman MNAMA :
jamaa nikazan an content zenye fact kumbe nae hamn kaz 😁
2026-07-07 23:01:00
1
shevbeatz
shev :
mimi sijawahi zikubali aipods, huwa natumia za waya tu
2026-07-07 22:07:47
7
boharimusic
BohariMusic :
Safi na mm nimeacha kutumia,radiation brother,
2026-07-08 09:43:37
1
yesse.damiani
Yesse Damiani :
Leo nime kuelewa ila kusema vitu vya machinga fek sija penda unataka charge og Kwa 5000
2026-07-07 19:49:59
2
britaingold
Britain gold :
mimi nilibaki na ushamba wangu, mambo hayo sijawai tumia Bluetooth ina mionzi inaharibu ubongo na hata kuleta kansa ya ubongo, mimi nimechagua kuwa mshamba
2026-07-08 20:23:31
0
i.am.ticah
Tee🌹🦋 :
Mhhhh
2026-07-08 16:06:44
0
devy57810
kevy :
Tutapewa mwili mwingine huko juu
2026-07-10 17:04:38
0
feysmile5
Fey smile💞💞 :
hizo pods zinaleta shida kwa masikio pia na ukieka sikioni for long time kichwa kinauma
2026-07-08 16:34:24
1
pogback220pog
it's pogback75 :
brutu ndo nn😃
2026-07-08 05:52:56
0
paslain.akili.kubw
Paslain Akili kubwa :
af kuna Pord mpaka za laki 5 sijui ubora wake unakuaje
2026-07-07 21:16:36
1
lewis.sugar.boy11
Lewis Sugar boy11 :
✌️✌️✌️
2026-07-10 01:40:14
1
To see more videos from user @touti_tech, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About