@muhsinibarua88: Kwa hali hii itafikia madereva kuuza viwanja vya familia kwajili ya kulipia short 😭😭 Yaan gar inapakiliwa mafuta na kushushwa depot hiyo hiyo ila lita 600 hazionekani sehemu ambayo haina hata mita 100 Vipi dereva ambaye anatoka na gar kwanzia tanzania hd kongo🙌🙌🙌 Ifikie hatua matajiri watuonee huruma na watafute chanzo cha short tunazowalipa sisi tunabambikiziwa TUNAHITAJI KUFANYA KAZI YENYE MASLAHI KTK FAMILIA ZETU ILA KWA HALI HII😭😭🙌🙌 #tiktokviral @FARU JOHN @Gademit Tv

muhsinibarua88
muhsinibarua88
Open In TikTok:
Region: MW
Tuesday 07 July 2026 20:37:42 GMT
26737
1116
26
37

Music

Download

Comments

jumanyundo481
Juma Nyundo :
mbona mnanitisha
2026-07-08 05:08:28
4
kidimbaa
KIDIMBA🦂 :
derpo ipi io
2026-07-08 03:42:49
4
ibnjaalan
Meddy_Jaalan :
Group sil hiii
2026-07-09 07:27:20
0
farujohn0
FARU JOHN :
Plesha juuu
2026-07-08 04:32:27
2
ireneassey488
Vunjo girl 🛣️🔙 :
umoj 0
2026-07-08 18:56:24
1
abuumontana
abuumontana :
hii kaz bila kukaza na umoja
2026-07-08 08:10:16
1
omari_omari_msofe
Omary MSOFE :
zangu dua tu kwake Allah kamanda 🇹🇿
2026-07-08 15:42:19
1
muhammedmaganga
Muhammed Maganga 🇹🇿 :
daah noma
2026-07-08 08:41:34
2
itengeja
itengeja :
mungu mnamubebesha majukumu yenu
2026-07-08 11:14:25
1
shinotee14
SHINOTEE👑✌️ :
unajua nacheka kwanini
2026-07-08 11:10:10
1
didah.jose
Didah Jose :
tuna teseka sana
2026-07-08 05:52:47
1
bashi_isher
Bashi_isher :
kazi hii mi imenishinda 🙏 narudi kwenye body
2026-07-08 05:37:23
3
mgungub
mgunguB :
Udereva wauchawa uchawa huo kama mumeona mnapigwa alafu mnataka mungu awasaidie wakati mnauwezo wakulifanyia kazi ilo swala
2026-07-08 20:58:31
1
zegeju.zegeju
zegeju :
Hii nchi kila mtu anaonesha kuwa maisha ni kukubali kugandamizwa!!
2026-07-08 07:42:10
1
canallengume
captain traore :
yani huyo anaesema huruma ya meneja Hana akili
2026-07-08 12:19:45
1
user8115332098143
user8115332098143 :
wanyooshe 😁
2026-07-08 06:14:45
2
pozkiddy
pozzo king 🤴🤴👑👑 :
🔥🔥🔥
2026-07-08 05:19:51
1
To see more videos from user @muhsinibarua88, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About