punguza matendo ya ovyo katika mitandao ya kijamii
2026-07-08 09:39:53
28
gally gee💕🎀🧸 :
usilie basi na filter jamn🥺🥺
2026-07-08 18:55:47
80
BAKI NA MIMI HARDWARE. :
Omba Mwisho mwemaaaa
Mama ako alokuzaa huko aliko,Anakuombea Dua nyingi sana uweze kumrudia Allah
2026-07-07 20:59:07
39
Dylan🫂🌎❤️🥷 :
Post ijayo Naomba ukiwa unalia usiwe filter tujue tunakusaidia vp
2026-07-08 19:21:33
11
Makundi😍 :
tupo wengi🥺💔🙌🙌🙌
2026-07-09 12:18:17
3
𝓜𝔂𝓻𝓪𝓱🤎🐅 :
ww nd km mm
2026-07-09 12:02:44
5
vivana❤️ :
jman shida ni nini naomba kuongea na wewe kipenz kama hautojali.maumivu yako yasikusahaulishe wewe kuwa wa thamani sana
naomba tuongee mpenzi hupaswi kulia bhn😭😭😭😭
2026-07-15 11:00:42
1
Galby aishy❤️💕😌 :
Machozi yako yawe kwa ajiri ya Allah usichoke kuomba Usichoke kujinenea Mazuri Hakika Allah ni mwingi wa rehma Matatizo ni kipimo cha imani 🙏🤲🏼
2026-07-08 08:21:13
17
🌸 widdy 🌸 :
Sio pekeako kipenz Hata mm mchana nakua sawa usku kilio uslie bhn mamaa swali sana kunywa Maj upmzke sawa 🥰🥰
2026-07-09 05:36:21
1
Mkenyatz :
Kapime mama
2026-07-08 16:21:18
1
babylee💞💞 :
Unaumwaann?kipenzi 🥺🥺
2026-07-08 09:54:25
1
Raisi wa tabata❤️💕 :
Nini lakini baby unakipitia mbona ivyo jmn mama angu ebu usilie nipo kwa ajili yako🥺🥺
2026-07-07 21:08:02
6
It’s me 🍀 babe g🌹🌹 :
Una umwa nn kipenz
2026-07-08 08:34:54
0
Momo Ahmed 💕 :
Kwanini nikimuona mtu analia namimi nalia jaman hii ali inanitesa ila pole sijuh unapitia nini ila kuwa naimani mungu ndokila kitu 🙏😭😭
2026-07-10 08:58:04
5
🍃Aiem Miynary🍃 :
siy vizr bhn. usilie hvy unajuw mi nakupenda na sipnd kuona ukilia please,ach bhc