@van.imagepro2: Miaka imeacha mikunjo usoni, lakini haijaweza kufuta ushuhuda wa neema ya Mungu. Kuna nyimbo haziimbiwi kwa sauti, huimbwa kwa maisha yaliyopitia mengi. Ndiyo maana kila neno linagusa moyo. 🙏🤍 #thislife
Miaka imeacha mikunjo usoni, lakini haijaweza kufuta ushuhuda wa neema ya Mungu. Kuna nyimbo haziimbiwi kwa sauti, huimbwa kwa maisha yaliyopitia mengi. Ndiyo maana kila neno linagusa moyo. 🙏🤍
2026-07-07 21:26:01
31
Bby Jane ❣️ :
kuna tukio mmenikumbusha, ngoja kwanza nilie😭😭😭
2026-07-08 12:53:22
17
Msemaji :
Nmeona Hisia kali na Maumivu sugu ndani ya huyo mzee🥺🥺bad enough He still Believe in Promises of God 🥺No fear, No sorrow just Faith in Jesus
iam Sure God already prepare something ahead his journey 🙏
2026-07-08 16:30:29
5
Lucia Benedict :
nimekumbuka msiba wa bibi angu nilikua naimba kila siku usikuu ndo nilale😭😭😭😭
2026-07-08 08:24:28
10
Mchagga23 👑 :
Daah hi nyimbo inanikumba siku ya msiba wa wa mama yang🥹😭
2026-07-08 18:57:21
16
Reen Masawe ♓️ :
Mungu akutunze baba 😭🙏🏻
2026-07-08 10:05:32
5
Merry Bahati :
mzeee kam huyu anaimba iv sisi vijan tunajuwa tu kuimba naishiwa power mung atusameh🙌
2026-07-08 15:16:43
9
catma_lady :
mtu kashaenda zake apo daah😢😢
2026-07-08 14:41:07
5
Lightness Mushi :
Mahali hapa sikutaka niheshimiwe Yesu , kaa nami hadi mwisho wangu Jehova 🙏
2026-07-08 20:36:28
0
The Shinner 🌹🌹🌹 :
Dah! punzika Kwa amani bibi yangu nimekumic sana
2026-07-08 20:46:47
0
phinoela mazigo :
barikiwaaaa
2026-07-08 17:41:08
0
offciwg :
ilinieshimiwe
2026-07-08 14:20:31
0
smaller angel :
😔the song
2026-07-08 19:57:28
0
Chief Bunambi :
my song🤣
2026-07-08 19:47:49
0
fay :
I miss my mamy😭😭😭
2026-07-08 19:59:30
0
Priska Agustino :
natamani ungekua baba yangu
2026-07-08 17:49:39
2
happyness kawishe :
baba nimekukumbuka sana pmzika kwa amani baba yangu kipenz 😭😭😭😭😭💔💔💔