@dr.florence.kanozo: TUZUNGUMZIE POSTURE YAKO: Part 4: Unakaaje Ukiwa Unaendesha Gari? Ukiachana na watu wa majumbani wanaokaa kwa muda mrefu, wahanga wengine ni madereva. Jiji letu la Dar, lina foleni ya kutosha na madereva hutumia muda mwingi wakiwa wamekaa Hivyo ni muhimu sisi kujua mkao huu ni wa aina gani na kwanini unawaumiza madareva. Na kama ilivyo kawaida yangu mwisho tutaelezana nini cha kufanya ili kuepukana na maumivu hayo. Karibu sana. #drflorencekanozo #posture #silvermoves #foryou

Dr. Florence Kanozo
Dr. Florence Kanozo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 03:22:00 GMT
23034
700
46
118

Music

Download

Comments

hardsoo
hardsoo :
mim ad saiz mkono wakushoto unauma nilikua najiuliza ila nilihisi
2026-07-19 15:19:39
1
manyanga5a
MANGi :
Dr - mie sina la kusema. Napenda kukujuza kuwa sina Gari. ninaendesha Maisha. kwa hatua niliyofikia naona Kabisa Maisha ndio yananiendesha Mimi.
2026-07-09 02:32:14
1
msemwa_classicwear
msemwa_classicwear :
Ferooz🤔
2026-07-27 06:39:16
1
zm_classic
Imam Ahmad :
nakupenda bure saana
2026-07-08 08:50:30
2
kakakuona63
KAKAKUONA :
ukiendesha gar km 1000 utakaa mikao yote bila kijali
2026-07-18 04:45:15
1
mussa.gmail.com
[email protected] :
Madam nakukubali natamani uje home utembee.
2026-07-23 03:21:17
1
elibarikilukas469
elibarikilukas469 :
thanks
2026-07-09 06:35:58
1
eliapendavyo1
eliaapendavyo :
Kwa waendesha pikpiki je inakuwaje
2026-07-20 05:58:04
1
cirilkimat
cirilkimat :
Nipo na wewe , ila ume tusahau tunao endesha bajaj.
2026-07-18 17:47:43
1
anyisile1
Anyisile :
Aisee nimejikuta nimekuwa addicted na clip zako and zimekuwa helpful
2026-07-09 16:15:27
1
joseph.kwela
joseph kwela :
mimi maumivu kwenye kiuno upande wa kulia
2026-07-21 17:35:43
1
kilonzo_0
kilonzo_0 :
Daktari wa ofisini msaada tafadhali namna tunaweza keti
2026-07-19 20:54:55
1
patriciasiay
Patricia :
Nimeipenda hii
2026-07-10 13:50:13
0
nanah.queen63
nanah queen :
yan mi nakupenda sn maana video zak zinanisem mm kbs sio mabeg yamedrop Nakaa sana sina core balance hip tightens kiun kuj mbel kutumia cm na laptop nimeinama yoooo unanisaidia sana nataka nichange....nipo na ww mpk mwishooo🔥🤍
2026-07-08 05:34:49
2
mdosi609
mdosi :
Asnte best kwa elimu
2026-07-10 05:28:09
1
jennywenu
JeyW :
waiting for the next one hii yangu kabisa
2026-07-10 15:10:11
0
madlay95
apopy :
me natamani nkuelewe ila ivo vipija ndio vinichanganya😏
2026-07-22 17:11:00
1
jemoh.otuni5
Jemoh Otuni :
nifanyie moja ya kulala my dia please
2026-07-13 14:17:31
0
leo.maxi4
Leo Maxi :
Eti kwapa ni sehemu ya siri msaidizi🤣🤣🤣
2026-07-23 13:35:28
1
baba.allan2
Angelo (baba allan) :
mmmmhhmm dr jamani attire yako hapo dooooh
2026-07-08 12:01:28
0
patriciasiay
Patricia :
Namna nzur sasa ya kukaa ukiendesha gar
2026-07-10 13:50:55
0
abdallah.shabani2
Abdallah Shabani :
🤝
2026-07-08 15:21:49
1
mwanamsingapoo
Mwana Msingapoo :
😎😎
2026-07-08 06:53:13
1
To see more videos from user @dr.florence.kanozo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About