@orkonereifmradio: Katika mitaa ya kihistoria ya Matrah, Muscat, historia ya uhusiano kati ya Tanzania na Oman inaendelea kuonekana kupitia usanifu wa majengo, utamaduni na matumizi ya lugha ya Kiswahili. Katika video hii, Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bi. Maulida Hassan, @ambassadormaulidahhassan akizungumza na wenyeji wa Matrah wenye asili ya Kitanzania, akionesha jinsi Kiswahili kinavyoendelea kuwa daraja la urafiki, historia na ushirikiano kati ya mataifa haya mawili. Cc @tzembassyoman & @ambassadormaulidahhassan

Orkonerei FM Radio
Orkonerei FM Radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 04:43:06 GMT
116604
5051
147
656

Music

Download

Comments

hayssanhayram792
MAGENGE🥥🍌🥒🥭🥬ELECTRONICS💡 :
🌙🕌💒📖📿🙏 😭😭😭 خدای من 😭
2026-07-10 16:43:07
0
angelna37
MSUKUMA MPOLE😇TZ🇹🇿👉🇴🇲 :
Wasukuma muko wapi🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
2026-07-08 21:15:28
42
ronyaboy775
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸💸
2026-07-09 15:13:10
0
rubbyyusra
ruby :
mzee yupo vizir
2026-07-08 16:19:04
35
bry_milips
Bry_milips :
Mashaallah watanganyika 🥰
2026-07-09 03:17:09
6
abdallahhh62
The :
Ila AI nikiboko 😁😁😁🙌
2026-07-08 18:47:52
4
eshedau
eshedau :
Nimewapenda sana
2026-07-08 08:31:20
26
ukhuty.ruqaiyyah
Ukhuty Ruqaiyyah :
wasukuma oyeeeeee
2026-07-08 20:59:56
10
user4232369655929
카누마갬베 :
waswahili to the world nafurahisana kusikia havi.
2026-07-08 15:17:51
20
abeshbaby
Queen Sheba Abesh :
jamani nimecheka lishimwemwe shinyanga apo au tabora jamani mashaallah ❤️😂😂😂❤️
2026-07-08 18:40:22
10
sarovar81
Sarovar 🇴🇲🇰🇪 :
I love Oman❤️🇴🇲...Karibuni nyote tunawapenda
2026-07-09 04:18:11
9
sisterfey_cosmetics2024
SARU COSMETICS & CLASSIC SHOES :
BABU KABARUZAAA KABISAAA KISUKUMA OYEEEE🥰🥰🥰🥰
2026-07-09 07:37:40
7
binty.hassan6
binty Hassan :
mashaa Allah 🥰🥰🥰🥰
2026-07-08 16:27:16
3
real_captainj
Captain J :
🤗 wasukuma shikamooo
2026-07-08 21:20:57
4
khatib9843
MHK :
msukuma .
2026-07-09 02:05:57
4
rehemamsakya
rehemamsakya :
mzee kabaruzaaa🥰🥰🥰
2026-07-08 20:48:07
5
cancellortotti
Cancellor Totti :
Safi sana
2026-07-08 21:13:35
2
alfredmlakitz
Alfred Mlaki Tz :
hii nzuru Saana
2026-07-08 20:28:58
2
roqiahomar
MAMA DULLAH :
MASHALLAH
2026-07-08 21:25:16
1
user5286526852871
adam :
sawasawa
2026-07-08 20:16:11
1
user3409471842177
user3409471842177 :
mashaallaah😀😀😀😀😀❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-08 19:22:08
1
selepacha
pacha boy :
2026-07-08 18:57:36
1
imfraziero4
Frazier 🍒🍓 :
Swax🥰🥰
2026-07-08 19:12:04
1
onesmo.geraz
onesmo geraz :
cvvvv
2026-07-08 18:19:02
1
allythuma347
allythuma@3'47 :
Familia
2026-07-08 18:54:31
1
To see more videos from user @orkonereifmradio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About