Jamn daah kutesa mtoto wa mtu hivi siwezi jamn mwisho huwa ni mbaya aisee wa mama wanaofanya hivi kuanzia watoto wao huwa hawafanikiwi Tabia mbaya sana
2026-08-13 05:25:38
1
mwesh :
Mungu nisaidie nilee watoto wangu🙏🙏🙏
2026-07-09 17:18:10
9
leah :
mungu nipe maisha malefu nile watt wangu
2026-07-15 12:44:00
6
aksa samwel :
mungu watunze watoto wote
2026-07-18 16:23:42
3
Coletha Sacty :
Mungu nijaalie miak mingi niweze kulea watot wangu😭😭
2026-07-08 16:57:13
8
Kennedy mdogo :
mungu niweke Mika mingi nione watoto wangu sio rahisi