Mwanamke ambaye ana uhakika hajawahi a LIKE hii comment yangu!
2026-07-09 05:28:23
3791
jules :
kama unamupenda yesu likes
2026-07-08 06:08:00
3265
FIRE Boy :
mwambie doctor aokoea mtoto mama afe
2026-07-08 09:19:57
1107
Hawa :
jaman waislam tumswalie mtume
2026-07-08 12:09:47
1278
Mhasibu :
content kali kama hizi huwezi kuzipata kwa ANKONZALA..
2026-07-08 06:23:46
3327
fetty💞 :
na wanawake wengi cku hizi ndo michezo Yao. Ya Allah niepushe mbali kabisa na kizazi changu
2026-07-08 09:51:08
554
Rose Victory :
hizi ndio content ambazo zilifaa tuwe tunazikuta mitandaoni Mungu akubariki bro
2026-07-08 10:55:04
2195
G.VANNY $ :
Mungu akupe maisha marefu unaesoma hii comment
2026-07-08 19:45:34
1006
Mr.popcorn Artisan Techinician :
kwa hiii content wanawake wamekuwa wachache kwenye comment
2026-07-08 08:56:30
284
MAAJIDI MJ.FILM :
ambao tunapinga tabia kam hizo like 👍
2026-07-08 13:58:22
436
creater :
kama hujawahi like hapa 😂😂
2026-07-09 12:21:43
377
Mr Galilaya official tz🌹🌹🌹 :
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa mtayarishaji wa maudhui (Content Creator) huyu kwa kazi yake nzuri na yenye kugusa jamii moja kwa moja. Maudhui aliyoyaandaa yameonesha ubunifu, uelewa wa changamoto za jamii, na uwezo wa kutumia majukwaa ya kidijitali kuelimisha, kuhamasisha na kuibua mijadala yenye tija.
Katika kipindi ambacho mitandao ya kijamii hutumiwa kwa madhumuni mbalimbali, ni jambo la kupongezwa kuona maudhui yanayotanguliza elimu, maadili na maendeleo ya jamii. Kazi kama hizi zinapaswa kuthaminiwa na kuungwa mkono kwa sababu zinachangia kujenga jamii yenye uelewa, uwajibikaji na fikra chanya.
Nakutakia mafanikio zaidi. Endelea kutumia kipaji chako kuleta mabadiliko chanya, kwa kuwa maudhui bora yana uwezo wa kubadilisha fikra, kuhamasisha vitendo na kujenga taifa lenye maarifa na maadili.
2026-07-08 15:05:10
624
🎭SMILING_SAMARITAN :
Toa full movie mzee
2026-07-25 14:33:59
1
Ikha Gretu :
next please
2026-07-25 10:40:17
0
ndasia...... :
what is that...kinyume na maumbile plz
2026-07-10 14:43:59
3
malengo niutumwa :
Tunaosema huyu muigizaji anatufaa katika jamii like hapa
2026-07-08 14:17:27
255
1+1=11 *bad45 :
kam unaamin hujawah fanya huo ujing like ap
2026-07-13 16:45:32
60
MA NIRHAM :
nalipa 20/ 20
2026-07-08 08:07:58
12
Mathylde :
wanawake ambao amujawawi kuingiliwa kinyume , nikwamba mumemweshimu mungu kabisa!!!
2026-07-23 13:31:52
5
Godlisten :
Mbona sioni coment za wadada
2026-07-08 09:34:19
174
Elon musk 001 :
2026-07-08 10:28:02
415
user7110023581114 :
Hii content wanaopenda mchezo huo hawata comment Wala ku like sms hii. ila Tambua kua Mungu anawapenda Sana tuache kutenda Zambi.
2026-07-08 06:12:59
282
Kazoba_Tz :
Daaah.!! Kama hujawahi hata siku1 gonga like apa👇👇
2026-07-09 15:47:08
33
Dr Ramah :
kinyume na maumbile ndo nini wakuu🥺🥺
2026-07-08 07:33:45
432
Mrs WHY🧚♀️🦋🐦🇹🇿 :
mungu akupe hitaji la moyo wako haya ndo mambo 2nayo yahitaji kwa niaba ya kuelimisha jamii pamban kaka wataelewa2
2026-07-08 11:27:54
123
To see more videos from user @headmaster_tz, please go to the Tikwm
homepage.