@deoppah_: Ukiamua kuangalia mpira na mpenzi wako, dakika 90 zinageuka kipindi cha maswali yasiyoisha. 😂⚽” cast: @deoppah @daanie_moe @queen.nenah Story: @daanie_moe Director: @justfancy_ #WorldCup #WorldCup2026 #Mpira #Soka #Mashabiki

De Oppah
De Oppah
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 07:15:39 GMT
1067908
97530
1294
3792

Music

Download

Comments

albex1373
albex :
bro uyo dem wako yuko single?
2026-07-08 14:00:44
959
kaka_vee3
I'm Victor ♤♡🪾🍁 :
kwel wanawake mpira hawajui 😁
2026-07-08 15:14:14
450
anastaziajoseph2557
🎀Ann@🔐✌️ :
😂😂 kuna mimi apa napenda timu kwa majina ila sielewagi kabisa wanavyocheza wala siangaliii wala sielewi chochote ila najiita mwana simba 😁😁😁
2026-07-09 08:04:33
349
ts_mariem
sweet_Chii🧿♟ :
na mm swali langu mbn mpira ni mmoja au hawana ela ya mipira mingine
2026-07-08 16:23:51
427
ivychristian
Ivykim :
Ila kweli mipira ingekuwa mingi bwana ingenoga sana😀
2026-07-08 16:10:01
229
bintiissamzungu
m❤️🙈 :
Eeh mungu mimi ndio namuelekezaga mme wangu 😅😅😅
2026-07-08 16:59:30
134
miss_p257
Miss-p🥰 :
kwani si wangekuwa na mipira mingi waache kukimbilia mmoja😂😂
2026-07-08 22:15:30
248
eddieh113
DEE🦋🌸🎀 :
Hapo Ronaldo yupo wapi kwani 😂
2026-07-08 14:54:00
218
cheusi055
~cheuscute~🫶 :
huyo mdada mzuri sana jamani uwiii🥰🥰
2026-07-08 16:21:31
90
missvanny4ever
missvanny4ever :
mbn mpira mmoja sasa
2026-07-08 15:19:41
54
mgucci_store
mgucci store 61jr :
Sema huyo dada 🔥🔥 namuomba kaka hata week moja
2026-08-07 13:33:23
5
jacklinekateme
Rahabu mwalukasa🇹🇿🇹🇿 :
30/30
2026-07-08 19:53:36
5
latypher76
Latypher💄 :
Watu Tusiulize😁💔
2026-07-08 17:00:59
22
chinunu01
Chinunu🌹🥰 :
Uyu ni mimi kabisa ninaeuliza maswali
2026-07-09 10:30:01
20
chusan.chona
Chusan Chona :
😂😂 Mm Nkiangalia Mpira Na Mke Wangu Naacha Tu Naweka Movie....
2026-07-08 15:23:20
49
user6687180483568
m fety :
uyo ni mimi kabisa sielelewagi kitu
2026-07-09 12:27:55
15
ashaally513
Triple A🤍 :
asa apo ronald yukwap😂😂😂
2026-07-08 15:30:18
27
kingsalma53
Triple s🥰😘 :
nimecheka kwa sauti
2026-07-10 12:59:06
5
glanceelite_xv
🅜🅡 🅖🅡🅐🅝🅒🅔💸🧠 :
𝖬𝖠𝖫𝖠𝖥𝖨𝖪𝖨 𝖶𝖠𝖪𝖴𝖵𝖨𝖤𝖶 𝖲𝖳𝖠𝖳𝖴𝖲 𝖬𝖪𝖮 𝖶𝖠𝖯𝖨?🙂
2026-07-09 06:37:24
7
user1935055309290
ashuu!!🥰🥰 :
ni kazuriiiii
2026-07-08 13:58:53
15
kevoo_mdo
kevoo_Mdo :
nashindwa kuelewa😂
2026-07-08 08:42:53
18
nasmamustapha632
natalia frank :
ndo maswal ninayo muulizag mme wangu😅
2026-07-08 15:03:07
96
muffin4038
Muffin 🍒🍒 :
mbona mpira ni mmoja
2026-07-09 06:35:02
6
111gnice
unstoppable lady gee🥰 :
mm asipojb maswal nakaa mbele ya screen😂
2026-07-09 11:19:06
6
To see more videos from user @deoppah_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About