@malili_cakes: Ndani ya laaziz bakery sabasaba 😍👌

malili_cakes
malili_cakes
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 09:21:29 GMT
152546
6302
247
263

Music

Download

Comments

lizovanthom
LIZZO MITUMBA GRADE ONE🛍️🛍️ :
Hapo mimi naanza kula magari maana sina hela ya mafuta
2026-07-08 18:41:28
185
auleriawilly0
Auleria willy :
another level aisee
2026-07-09 11:46:39
0
momuzairy
Mom3@ :
wakati unaitengeneza ulikanyaga wapi.
2026-07-08 19:31:11
82
sapnakapur12
Sapna k😛 :
bey gn km hio
2026-07-09 10:51:17
0
yulegirl7
Yulegirl💕💜 :
Mtuleteee behind the scene ya hii cake
2026-07-09 09:41:31
0
hamidamango0
Hamida Mango :
hii kweli cake ya mwaka mana cjaonaga ubunifu amazing kama huu... congratulations
2026-07-08 17:43:19
1
becca1717
reey♥️♥️ :
macho yangu mabovu aw hy cake yenyew mbn silioni😎😎
2026-07-09 06:19:44
21
lyra72318
Lyra 🫧💕 :
hii ni shule Gani nimpeleke mwanangu
2026-07-08 17:02:38
25
suleiman_1993
Suleiman_Naim :
who made this order amazing Masha Allah
2026-07-08 12:44:42
1
mwanaa888
Zeihad mumu :
Huo mji wote ni cake hiyo
2026-07-08 15:12:44
13
official_kasmosa86
official_kasmosa86 :
iko wap iyo cake🥺
2026-07-08 13:33:56
32
phimuu
phimuu@ :
pambe.km shingap😅
2026-07-08 13:34:33
10
tekrapaul
tekrapaul :
me Sion cake au mniazime miwan
2026-07-08 16:35:35
3
frankjohn668
Frank ⭐️⭐️ :
Vyoo vikowapi kwenye hayo majengo nione cake ya choo
2026-07-09 13:44:25
0
mosesdm3
Engineer by Nature :
Mna uhakika hiyo ni cake? mbona mimi Naona mji
2026-07-08 19:12:00
6
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Mashaallah nzuri saana hongeraa🥰
2026-07-08 16:51:02
4
user654231078813
swahilianprincessor :
sio funga mwaka ni funga jenzii
2026-07-08 10:53:40
7
manaythar
🫣fêstõ🫶 :
ata kama comment yangu itakua Haina mana lkn we isome tu
2026-07-08 14:19:24
5
happnesselisha
happyness :
jaman nasubr nion keki lkn naon magar
2026-07-09 10:05:01
0
indian.nikab.habb
Indian nikab habbty🧕❣️ :
nmekumbuka yule mzungu wa my house is a cake😂
2026-07-09 11:25:54
3
saras.beuty
Sara's beuty :
nimeona gar ya mume wangu naajaja nyumbn ana wiki
2026-07-08 19:30:47
0
naskhad04
Naskhad04 :
Wwooooooooow mashallah 🥰
2026-07-08 09:56:07
4
To see more videos from user @malili_cakes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About