@bongoads: #tanzaniatiktok #tiktokkenya

bongoads
bongoads
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 10:23:50 GMT
45962
3279
146
132

Music

Download

Comments

astravvanna_
Astravvanna :
Hamna bhana, kila biashara Ina Marketing method yake. Kuna classes za marketing kama B2B, B2C na vinginevyo. Kuna biashara ukifanya lenga final consumers kama soda, Maji, vyakula , lazima ufanye ads. Lakini kuna vitu vingine kama madini etc kuna kitengo cha marketing lakini wana enda directly kwa taasisi au kampuni kufanya pitching na offer sio lazim wafanye matangazo(traditional). So despite how big the company is wateja walengwa ndo wataamua marketing ikoje. Coca Cola unaeza kuwa valuble kushinda kampuni nyingi tu lakini lazima itangaze mtaani na media sababu target market ni final consumers
2026-07-08 17:00:55
67
obsyre
NO CONTEXT :
na hizi ads za emirates insta? kwenye jezi?
2026-07-08 19:52:44
10
abdilehussen
boss+ :
wengi wetu tunatumia wifi ya jirani 🤣🤣🤣
2026-07-08 18:31:38
12
annaherbalglow
Anna HerbalGlow :
😂😂😂 kwenye Tv nimevuka bado tiktok😁🤭 nihamie kwa kina ndege na meli
2026-07-08 12:08:35
12
bro_tips_
BRO TIPS :
nshaona mataangazo ya ndege za Emirates kwenye TV mala nyingi,wabongo tunapenda sana kwenye kupotezana , nguvu ya Mainstream media bado ipo na hata nguvu ya hizi digital ndo kubwa zaidi, mfano hai watu wa football ⚽ tunajionea Qtary airways Kila siku tunaona zinapita kwenye advertise bar Kila siku so usitulishe matango pori bro
2026-07-08 17:34:24
1
mkwavila29
Kusini Icon :
Nimecheka 😂, lakini umeungea logic sanaa
2026-07-08 11:10:21
6
elementmsule
Element msule :
Mwanang nakufollw
2026-07-08 22:13:00
1
carrick383
carrick :
tutakufuatilia
2026-07-08 12:21:51
2
rosespemba3
rose@spemba :
trueee
2026-07-08 11:38:22
2
simba_mgiriki
Simba Mgiriki :
sasa bila TikTok ningeonaje huu ushauri wako?
2026-07-09 05:35:25
4
aidanistgeorge417
Aidanist George :
njoo LinkedIn
2026-07-10 14:30:52
1
ngayagaaczamagari
Fundi ac za magari :
nimekuelewa mkuu🙏🙏🙏
2026-07-09 08:33:34
2
alan_o_fficial55
alan_o_fficial :
wauwweeee
2026-07-09 03:31:02
1
prayzoo_pray
Praygod Hance :
fala sanaaa😂
2026-07-08 22:58:16
1
rohosafi1393
Coco interior design :
Ukweli kabisa
2026-07-08 18:28:04
3
masanja.peter2
Masanja Peter :
kaka leo umeenda mbali sana
2026-07-09 00:47:47
1
jay734397
JAY-7 :
tunaona ia
2026-07-08 20:37:02
2
joe.batt
Joe batt wa nzambe🥁🔥 :
Kabisa 🔥🔥🔥
2026-07-09 07:58:10
1
mr.electric287
Mr Electric :
umewaza kama mimi
2026-07-08 20:38:20
1
kamongonya
kamong'onya :
sas tukohama tik tok wew tutakuona wapi
2026-07-08 15:19:19
3
lblazuba
Lb Lazuba :
umeongea ukweli kabisa
2026-07-08 11:26:52
3
balutwa.b.f
balutwa b.f :
good day mkuu
2026-07-08 10:50:07
2
official_ceo05
@CEO :
hii inauma ila nmecheka sana😹😹😹😹😹😹😹😹
2026-07-08 11:04:02
4
To see more videos from user @bongoads, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About