Sasa mchungaji kama MUNGU amekuita wanjilisi unawaita wanini si umuite MUNGU aliekuita
2026-07-18 20:09:57
1
Timoavy2014 :
Wataendaje wasipo pelekwa😳😳😳
2026-07-30 16:58:29
0
rebekankaila :
hadi mwili unasisimuka jaman Mungu atusaidie kunyenyekea kwa Mungu.
2026-07-25 08:56:11
0
Method Ignas :
nakubaliana na huyu mzee fact kabisa hizo
2026-07-29 17:14:48
0
yadidia jakison :
nimeandika koment mala 4 na nukafuta ila pole mzee
2026-07-28 06:10:15
0
kele jack :
mzee wangu mwenyez mungu akubaliki sana tn sana
2026-07-08 16:11:50
2
GRACE POWER (MINISTRIES) :
sawa tunaenda
2026-07-23 13:24:47
0
KATEMA Family :
sawa ira mzee yupo sahihi tu isipo kuwa sisi tumemuelewa vby
2026-07-08 13:34:48
2
user6032120194803 :
Wote Mwakalambo yupo sahihi na Mzee yupo sahihi na mimi naongezea:: Ni vizuri tujitoe kwa gharama zetu tusiwalemee watu lakini pia hata wenye kutuita watusafirishe mzani usiegemee upande mmoja
2026-07-26 03:20:13
0
YUZZO🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇹🇿 :
1kor9:9
2026-07-26 22:04:43
0
Sheila brian Rusimbi :
mchungaji yukosahihi kabisa
2026-07-25 03:14:53
0
Elieka :
je manabiii ndio maana mungu amesema nchi imeonzwa ni ukweli
2026-07-29 11:20:58
0
godwinulomi8 :
Wachungaji wengi wanawatumia wahubiri vibaya.Mtumishi anapaswa asafirishwe na atunzike vizuri.Wapentekoste wanahatari sana wakikualika ujipange kuumia,Japo sio wote.
2026-07-26 20:09:15
0
Erick - Catalyst :
Mzee yuko sawa ..... Usimsahihishe chochote ..... Kama una mawazo tofauti na yeye .... Hubiri wewe ..... Usi attach clip yake .... Sidhani kama anahitaji correction yako
2026-07-25 07:53:47
0
Grace123 :
amen sana pastor
2026-07-08 12:49:34
1
Vaileth simfukwe :
amina🙏🙏🙏
2026-07-08 11:07:22
1
user1621515949104 :
good
2026-07-08 16:04:57
1
Rehema paulo :
uko sawa mzeee
2026-07-09 04:36:59
0
Musa Samson :
mtumish mungu atuhulumia
2026-07-10 13:50:32
0
masikin jeuri :
Aminaa
2026-07-09 16:10:45
0
Magesa Ryoba :
akikuomba umwalike ni sawa unachongea
2026-07-31 09:54:48
0
Mt,John venance :
amina mtumishi
2026-07-11 19:11:48
0
Merry Joseph :
amina kwakuisemakweli baba MUNGU akubaliki
2026-07-10 14:45:26
0
anthony edward :
Amina Amina
2026-07-11 11:04:27
0
user7713985082410 :
Duuuh
2026-07-09 06:02:48
0
To see more videos from user @official_kuhani_atson, please go to the Tikwm
homepage.