@urban_edmund: Miongoni mwa shule za boarding zilizouwasha Tanzania mwaka huu kwa masomo ya Sayansi, Ndanda inaongoza, swipe kuona shule zingine #necta #ndanda #secondaryschool #Tanzaniatiktok #kigonsera
miaka michache ijayo itakuwa kila shule ni division one zote tukiwambia division one haina thamani muelewe kama unabisha angalia form six necta 2013 hadi mwenye three anaenda kupiga MD
2026-07-08 18:29:31
11
tariqgumba :
SONGEA BOYS itabaki kuwa bora siku nakubal waboy wenzangu nawakubal sana 😂😁😳
2026-07-09 00:21:47
5
bahatychiwila :
Masas girl sijaiona
2026-07-09 10:53:20
1
FarHeenFaridah💕 :
Mpanda girls🎊🎊🎊
2026-07-08 20:36:59
5
silvertongue97 :
same boys💪
2026-07-09 18:26:33
2
slyvie🤎 :
Ashira😁
2026-07-09 06:46:51
5
IT'S BIMBO🌸🐰 :
Ashira🥰
2026-07-09 05:44:29
7
gody thug :
daaah nimeionaaa kigonsera yangu apo
2026-07-08 21:21:54
0
Posh famousCloset :
WeRuweruuuuuuu🫶🏽🫶🏽🫶🏽
2026-07-09 17:07:59
3
Nax...🦋 :
big up korogwe girls 🥰
2026-07-09 05:43:41
2
SPHINX04 :
naumia watu hawaijui NJOMBE SECONDARY SCHOOL (NJOSS)
2026-07-08 20:13:32
4
Lustre Gems :
siasa imeingilia masomo, wanafaulu sana ila uwezo mdogo. miaka 2020 kurudi nyuma ni vipanga tu ndo wanaoweza kupata two,one na three za mwanzo. siku hizi hata vilaza wanagonga one kali.
2026-07-10 11:49:39
0
Tabbythegal :
kigonsera
2026-07-08 20:08:21
0
Londo Tz :
Ndanda
yamoto aiseeee
2026-07-09 00:48:46
3
To see more videos from user @urban_edmund, please go to the Tikwm
homepage.