polen Allah awape subra Allah amrehem amsamehe makosa yake Allah alitie nuru kabri lake Allah awarehem na ndugu zetu walio tangulia awajaalie pepon pawe makaz yao nasi Allah atujaalie mwisho mwema yarrab🤲
2026-07-08 11:38:00
25
zayd-khan :
innalillah wainna ilayh rajiun🥹🥹
2026-07-08 11:42:15
6
Muhamad Issa :
inna Lillaah wainna ilayhi raajiuni
2026-07-08 10:40:31
0
fatihusaidi :
innaa Lillah wainna ilayhi rajiuun
2026-07-08 12:35:23
1
mzee :
innalilllah wainna ilayhi rajiun kwa kweli nimepata athar kwa bwana huyu mcha mungu sana mungu ampokee amuingize katika rehma zake1
2026-07-08 19:20:03
4
Zainab :
Babu yangu jaman 🥺
2026-07-08 12:08:36
0
aishayussufsaid :
sayyid othman abdulqadir othman muhammad yaa rabbi mpelekee malaika wema. Amiin
2026-07-10 15:11:28
3
Sajent@ :
Allah atujaalie na Sisi tuwe watu wema zaidi
2026-07-10 16:51:13
1
Da shuu Mamy :
Allah akupe qaur thabit
2026-07-08 19:18:05
1
fetymmhando :
mwenyezi mungu amuweke sehemu nzuri
2026-07-09 18:09:48
1
Yussuf Ramadhan :
innaa lillaahi wa innaaaaa ilayhi raaji'uun 🥺
2026-07-08 20:13:23
2
Amina zarf :
pole ni sana wafiw mungu ampemwisho mwema
2026-07-09 12:55:13
2
Mussa Mwenyasa :
Inna Lilah wainna ilah rajiun 😭
2026-07-09 14:03:40
1
heri ulamba :
aminii mungu msamehe shekh wetu
2026-07-11 14:11:07
0
abuu marjeby :
Mungu akupe hifadhi pamoja na waja wema MLEZI wetu siku yangu leo imekuwa nzito sana wallah