@dr.florence.kanozo: TUZUNGUMZIE POSTURE YAKO: Part 5 - DESK JOBS Tuanze kwa kumshukuru Mungu kwakua tunamepata Ile kazi tulikua tunamuomba kila siku. Sasa, kadri siku zinavyokwenda unaona kazi chungu kwasababu ya maumivu makali ya mgongo Kila ukiulizia unaambiwa ukibadilisha kiti tu utakaa sawa, basi na wewe ukatii, ukabadili kiti. Swali linakuja hivi... Kwanini maumivu yaliendelea baada ya kubadili kiti? Na kama kiti sio shida, je shida ni nini? Maswali haya yanajibiwa kwenye video hii, karibu kuangalia 🤗 #drflorencekanozo #silvermoves #posture #foryou