Mashabiki wa Ronaldo wengi wanakulupuka au wengine wanampenda Ronaldo et handsome 😂😂😂😂
2026-07-08 17:00:53
100
Gadee👟😎 :
Kweli kabisa mpira ni messi na messi ndio mpira wenyewe
2026-07-08 13:53:46
138
khaledmhina :
CR7 so lucky to be compared to him🔥
2026-07-09 05:13:47
3
Ke Boe :
Bro umeongea point 💯
2026-07-09 03:36:57
0
Elisha195 :
kwwn hawajui kwamba nows day Ronald akiwa mazoezin anajiita messi
2026-07-08 17:40:02
51
Nelson Kimonga :
messi ww mtwu
2026-07-09 04:46:52
1
Adroit Tour Guide :
Kumbe Momo anaelewa sana bolu eti! 😁
2026-07-08 17:22:49
33
Cháö.Mk :
Sasa huyu ni international football pundit 🔥🔥🔥. gained a follower kutoka kenya
2026-07-08 22:22:21
4
jakababapeter :
🥰🥰🥰🥰Messi is talented
2026-07-08 18:24:21
3
Mr Africa :
waliokubaliana na hyu jamaa kwa yote bas hawajui kama yeye. sasa kama ndo hivyo tuzo ya Messi ya mwisho 2022 alikuwa na namba gan kwenye ushindi wa kombe la Dunia?? zile tuzo kna namna zinaupendeleo sana.
2026-07-08 22:34:34
6
greylish quench 🤘🏿😎 :
follow for follow guys ☺️
2026-07-08 19:23:03
0
Symonmpilimba :
upo sahh cn ricardo
2026-07-08 14:06:08
24
ernest hazard10 :
haya ni zaidi ya madini
2026-07-08 12:56:27
18
IMO26 :
una sauti ya diamond mwanetu
2026-07-08 19:28:59
6
Ronymozc :
ukwel wanaujuwa
2026-07-08 18:34:55
7
yakhuza 👽Msoweto ☘️ :
me napenda celebration ya ronaldo angekuwa anafanya messi
2026-07-08 18:23:37
7
bosskaka :
oya mi nilijua momo hajui chochote kumbe anaweza sana