siwezi kupita video ya baba atu ndo kitu nimekuja kugundua😌😅😅
2026-07-08 20:24:34
116
William Ngidange :
Hakika nimechka sana😂
2026-07-09 05:57:52
36
shiner✨ :
hii combo nimeipenda xn😂😂🥰
2026-07-08 16:08:09
47
P_sunny :
sema hii ungepost tiktok ingetrend sana
2026-07-09 04:10:28
10
princessdidii3 :
Adi wakina yuda unawafokea baba atu 🙌🙌😅😍
2026-08-19 10:04:00
3
lizzy50 :
🤣🤣🤣fany tena kwaajil yang
2026-08-19 19:32:07
1
sea breeze :
Kam ulitumiw esms ya Tunza amani gonga like
2026-07-09 10:55:24
19
NOCHA :
Daah😂😂🙌
2026-07-08 23:45:59
7
mounah love 💕 :
hiyo kimbia mimi hoi 😅😅😅
2026-07-09 06:48:39
5
Martin Msukwa :
nimecheka kama chizi
2026-07-08 16:05:15
5
Oscar Deez :
ndo kitu ambacho nimekuja kugundua😂😂
2026-07-09 17:02:20
3
toriavic14 :
😅😅Hii video imeanza tu nikaanza kucheka
2026-07-09 04:52:24
8
Baraka mswima :
Eti mbio zituokoe tukutane hekaluni🤣🤣🤣
2026-07-14 10:23:53
1
Princess Ney 🇹🇿🇴🇲 :
daaah😁😁
2026-07-09 06:39:24
1
🦋 :
aah leo nimecheka kama chiz🤣
2026-07-15 12:02:45
0
MR ABILITY :
daaaah 😂😂😂
2026-07-08 17:48:29
2
MrG official :
kama umekubali hawa comedian likes ziwe nyingi hapa 😆😅😂🤣☺️😁
2026-07-08 19:22:54
7
JamesAyub :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-07-09 07:46:43
0
🥀T@$@🍓 :
😄😄😄😄😄 mama weeeee
2026-07-08 16:41:39
2
BEST TECHNICAL SERVICES🛠️ :
🤣🤣🤣🤣 Just imagi
2026-07-08 16:53:05
3
Stella aroyce :
daaa we umepinda
2026-07-08 22:54:32
2
shiner✨ :
hiyo mikimbio ya baba atu😂🙌
2026-07-08 16:09:34
5
Pee cosmetics💖 :
safii sanaa idea mpyaa🥰
2026-07-08 17:56:36
4
To see more videos from user @pilitoni2, please go to the Tikwm
homepage.