@kwarotv: Nnavyowajua mashabiki wa muziki wa singeli kama nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi hawakwepeshi so nna imani una talent kubwa na watakupokea vizuri kikubwa nidhamu heshima na ubunifu kila siku karibu sana kwenye game @ITS BUBBY #taarifanaburudani