Wallah nimejikuta na me nalia eeh Mungu nipe maisha marefu na afya niwalee wanangu Mungu wangu me hii video imeniumaaa wallah
2026-07-09 06:43:39
50
lulu baby 🥰🥰 :
inauma kwakwel mungu akuzidishie palipo pungua
2026-07-08 21:25:26
50
maitaita224 :
broo broo broo amini ninachokuambia mungu atakuzidishia utashangaa ww ni mtu mwema sana
2026-07-08 21:27:31
56
da-Tuu :
tunaomba mawasiliano tumchangie
2026-07-09 17:12:07
11
muga tz :
ndowanavyoliaga
2026-07-09 04:33:29
8
rabby peace :
nimeliaa dah mwenyezi mungu akuzidishiee we baba ulipochota akakujaze dufumala dufu dah
2026-07-09 03:40:53
28
ummy Ilyasaa :
umefanya nimelia mwanangu, im so emotional😭😭
2026-07-08 18:35:58
6
Mgodo :
daaaa aseee brother ulipo toa mwez mungu akuzidishie maradufu
2026-07-08 17:28:19
24
iffah wa hussein♥️🔏🌹 :
Wallah Nimelia allah akuzidishie ulipotoa 😭😔
2026-07-09 05:41:27
15
WEMA BADO UNAENDELEA 💯😇🏟 :
WEMA BADO UNAENDELEA INSHAALLAH 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-09 09:27:39
9
scovia :
Ee Mungu wangu msaidie huyu kijana ana mengi mazito😭
2026-07-09 07:48:10
5
Kamikazi Salma :
Mungu akupe itaji la moyo wako kwakumsaidiya uyo mtoto 🙏🏻😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-07-08 22:08:04
5
halima :
watoto wengi wanateseka dah 😭😭
2026-07-09 04:40:31
9
Mumy Chaya🥰 :
Usilie jamani watu wema bado wapo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-09 06:37:28
11
~TEMPA MJAPANI 113✨ :
madogo wa kijijini wanajituma sana🥺
2026-07-09 04:30:38
12
Mbengwa2024 :
kaka mm nimelia kiukwel mungu akubarik sana akabarik kaz ya mikono yako
2026-07-08 17:27:00
16
𝗜𝗳𝗮𝘁𝗞𝗵𝗮𝗻9♥️🇹🇿🇮🇳 :
Duh anaewez kuelewa ni Yule ambae ali Lala na njaa sik moja kwa sabab wali kosa hela ya kula kwao na sikwasabab alikosa ham ya kula 😭💔🙌 Mungu awabarik zaid nyinyi watoaj 🤲🥰
2026-07-09 03:23:45
26
Martunis Muyasari :
Yaani Mungu pekee ndo anajua tuliangalia hii video,,,kwa kweli huu ndio moyo wa ubinaadamu tunaopaswa kua nao,wala hujapoteza chochote ndugu M/Mungu atakuongezea palipopungua🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
2026-07-09 14:54:49
6
To see more videos from user @dungastar001, please go to the Tikwm
homepage.