@ukweliusemwecommunity: Utafiti ambao umefanywa na taasisi ya Pyschology societies umebaini kuwa wanaume wanao mshabikia messi ndo wanaume wano ongoza kuwa waaminifu kwenye ndoa na mahusiano yao ukilinganisha na wale wanao mshabikia Ronaldo. Taasisi hiyo inasema wanaume wanao mshabikia messi ni wenye msimamo ambao siyo wa kuyumba yumba kitu kinacho wafanya waonekane ni watu ambao husimamia kile wanacho kiamini kuanzia mwanzo mpaka mwisho mpaka kilete matokeo, na huwa wana amini katika uwezo. 🎯pyschology Societies Je unakubaliana na huu utafiti? #fblifestyle#mastoryyetu #sksport

SKsports
SKsports
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 17:06:13 GMT
43532
1074
26
101

Music

Download

Comments

johnmzava2
Champion 666 :
kweli kabisa Ahsante fundi wa mpira messi
2026-07-11 19:32:47
3
lanteboy5
lanteboy :
wakwanza mie nina uwaminifu wahali yajuu
2026-07-08 23:41:25
6
majaliwa.j.wambur
Majaliwa j wambura :
kweli kabisa goat
2026-07-12 06:52:23
2
user2406740707321
user2406740707321 :
hatari
2026-07-11 15:18:44
2
benjamin.lunkon
B@n_ Tz,🇷🇼🇹🇿 :
sure
2026-07-11 07:54:34
2
brayoooh0
Brayooo_Negro :
Kabisaaaa
2026-07-10 11:29:37
3
j.cobra.com
Jcobra :
mi simo
2026-07-09 16:01:42
3
victormpunzamp1
Kırlangıç 🩺 :
aaaha wapi
2026-07-09 11:56:41
0
nation6292
nation :
am here
2026-07-10 21:33:55
1
user2505548329220
BROTHER Amiry🦧 :
Asante goat 🐐
2026-07-10 10:32:14
4
samueljohno62
Samuel John :
maana ni watu wa MUNGU kuanzia wao mpaka messi mwenyewe
2026-07-12 18:21:55
2
user4592265563917
JacksonKing :
uhakika bro sjui umewazaje
2026-07-11 18:47:58
2
mvuvikina
BWIZZO_KARTEL👑 :
kama kuna ukweli.
2026-07-11 21:06:24
3
mujasienock
Mujasi Enock :
uhakika
2026-07-09 06:05:19
2
nelxonstephano975
Nelxon [email protected] :
kabixa
2026-07-08 20:20:23
3
user6110968471928
user6110968471928 :
haswaaaa
2026-07-09 09:37:05
2
mpoma.bhiva.nukum5
MPOMA BHIVA NUKUMENEKA.leonard :
ni wazinzi wote
2026-07-09 07:14:56
1
geusenior1
Geu senior 🦁 :
sio kweli me namshabikia lakn kwenye swala la uaminifu ni zero
2026-07-09 05:33:41
1
user61124381614293
Rachel :
ni kweli
2026-07-09 10:32:02
1
wakurugo
wakurugo :
🥰🥰🥰
2026-07-12 06:32:43
2
emmanuelelishandoma3
Drax boy1512 :
🤣🤣👍
2026-07-11 04:25:44
1
user4325554219740
suleyman :
🙏🙏🙏
2026-07-09 02:54:50
1
kelvin.jumong
Kelvin Jumong :
❤️
2026-07-12 19:06:19
0
To see more videos from user @ukweliusemwecommunity, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About