@alexmwamtobe:

@Alex Mwamtobe
@Alex Mwamtobe
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 17:14:22 GMT
13498
714
23
74

Music

Download

Comments

user1323021237714
SalimSalman :
x = 142 ÷ 2 = 71 y = 38 + x y = 38 + 71 y = 109⁰ Jumla ya pembe mbili za ndani za pembetatu zilizo mkabala ni sawa na pembe ya nje. Kanuni hii ya kijiometri ina maana ya kwamba ukiangalia pembe yoyote ya nje ya pembetatu, thamani yake ni sawa na jumla ya zile pembe mbili za ndani ambazo hazishikani na pembe hiyo ya nje....🤔
2026-07-09 18:13:38
4
edimund.laurent
Edimund Laurent :
saf mwalimu
2026-08-18 13:12:24
1
ramadhanmnzava
kipengele :
NECTA WHICH YEAR?
2026-08-09 18:59:18
1
kadigaali447
Kadiga Ali :
maswali yangu pendwa nilikua nakokotoa hizo
2026-08-14 15:53:55
0
lazaro.kapina
Lazaro Kapina :
Asante sana mwalimu
2026-08-01 07:11:51
3
user5794227831067
Rogers anastancy nyoni songea :
upo vzr mwl
2026-08-01 17:56:27
1
nabasonsanga
Nebason.sanga :
Kaka uko vizuri wengi wanakuiga ila hawakuwezi sijui walikuwaga wapi wakuiga
2026-08-26 04:55:19
0
asimwe679
Asimwe :
Ahsante sana mwalimu nimeelewa
2026-08-14 13:34:12
1
lujay40
lujay :
samahani utuweke ni kidato cha ngapi na au standard please
2026-08-21 11:52:09
1
mahilamalonjamatu
mahilamalonjamatu :
Asante sana kaka, umenifanya kuipenda hisabati sana tu
2026-07-08 17:47:20
2
petermwijage
AAA :
mwl.kuna x na y TU jmn 😆 au ni sheria
2026-08-17 17:01:29
0
neemalaiser239
Neema Laiser :
👍👍👍 Shukran Sana
2026-08-03 17:39:31
1
ismail.adenrage
Ismail Adenrage :
nina wazo mwalim
2026-08-07 01:05:21
1
user6145620297146
Rich RPG :
sawaticha
2026-07-26 18:11:56
2
....sinay
Zuhura :
mwalimu uko vizuri sana
2026-08-02 18:25:12
1
user4886570438167
Kabatiti's Master :
Asante
2026-07-28 13:23:08
0
khalidkisinza
artificial mbappe :
ticha fanya na maswali ya algebra
2026-08-01 21:01:05
1
user63250118292480
user63250118292480 :
kumbe hesabu inatakiwa tusome tukishakuwa watu wazima bwana kwasababu kuna mda inabid ujiamlie mambo ili kusolve swali mfano jamaa kajiamlia kuweka z ili apate y
2026-08-20 11:11:59
0
songoro85
songoro王松 :
kwa mbili mbili kwa mbili mbili imeisha🤣🤣
2026-08-02 18:06:04
1
ema.the.boy5
@ema.the.boy :
😁😁😁
2026-08-20 13:37:14
0
mannestory6
man Nestory :
baada ya kupata x = 71 chukua 68+ 71+ (38+d) = 180 177+d = 180 d= 3 chukua 3+68+y=180 71+y= 180 y=180-71 y=109
2026-08-03 13:13:05
1
To see more videos from user @alexmwamtobe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About