@user7717347668185: Herufi hizi ni tukufu sana na ndani yake kuna katazo la kukaribiana baina ya jini na mwanadamu ikiwa utaziandika katika karatasi kwa zafarani kisha ukasomea jina hilo tukufu يا رحمن ×1063 YAA RAHMAAN mara 1063 unafusha na udi ukaweka.katika chego ya kitandani basi jini mahaba hawezi kukaribia na akijaribu atatandikwa kwa nuru kali ya moto ila pia hata mchawi hawezi kukukaribia ndani ya herufi hiz kuna siri adhwiim ya uzio ya vitu vtukufu vilivyotakata na vitu vichafu ambavyo havijatakata ambapo wala vitu hivyo havijawahi kuguswa wala kusogelewa na uchafu wa aina yeyote hasa tunakusudia kimwili na siri hii imo ndani ya quraan tukufu

Sayyed abuu abdillahil Ally
Sayyed abuu abdillahil Ally
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 17:50:03 GMT
19318
620
12
112

Music

Download

Comments

ummyhk2
UmmyHk :
ni kitandan tu kwny mazngr mengn vp
2026-08-31 17:04:17
0
travel_138
Travel_1💀 :
kweli
2026-08-16 08:48:54
1
khadijamohammedbu
Khadija Mohammed burhani :
mashallah napenda elimu zako
2026-07-16 04:51:07
0
ummyhk2
UmmyHk :
hlo neno ni Yaa Rahman
2026-08-31 17:04:40
0
majeed.boufal
Nássér Mäjeed😇 :
Unaziandika kama zilivyo hivyo hizo herufi mwalimu?
2026-07-09 08:55:15
0
ramadhanikileo161
kileo :
Kwa muda gan au kila cku
2026-07-09 03:57:09
0
ramamohamedabedia
Rama Mohamed Abedi Abedi :
Unafusha udi wa aina gani shekhe
2026-07-09 07:34:50
0
goldray74
GOLDRAY :
wachoma hayo maanddishi au walalia
2026-07-22 15:11:18
0
mekiraysh_trainer
@ meki rayash _Boxing🥊🥊 :
🤝🤝🤝
2026-07-09 10:48:17
1
To see more videos from user @user7717347668185, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About