"Ni kwa sababu ya Heshima na Utii ambao Waislam tumefundishwa katika vitabu vyetu Takatifu kuheshimu maamuzi ya viongozi wetu ndio maana Tuko kimya …. Lakini sauti za ukimya zinazolia kwenye mioyo ya Waislam wengi kwa sasa hivi .. Hatujaridhika na Maamuzi yaliofanywa na Bakwata
Allahu Yaalam .. Wakati Utaongea🙏🏼"
2026-07-16 12:05:23
2
farhatain😍💦💦 :
Subhanallah😃😃
2026-07-09 06:00:41
2
mwanamgomba :
kweli
2026-07-09 03:54:47
2
Halba :
😁😁😁
2026-07-09 04:13:22
2
DIDAS EMMANUEL MASSAWE :
yarab mm mwnaidi nakuomba mola wangu nijalie riski na masomo yngu nifaulu pia na mtian yangu mwisho na darasani nakuomba Allah uniondole husida 🤲 mawaduwi zangu waniindolee katika maisha yang bryson massawe Alhamdulillah amen
2026-07-09 04:48:32
4
To see more videos from user @al_taz88, please go to the Tikwm
homepage.