@machinoocomedy: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo wazazi tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye maadili yanayofaa katika jamii kwa maana mambo kama haya mtoto anakariri mwisho wa siku anaanza kuiga mambo yasiyofaa #creatorsearchinsights #machinoocomed #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 @dayanamgogosi @lucypaulo41 @brinah @Daima🥰 @aishmarry @katoto 45😝 @preciousvictoria42 @R🥰 @gyakie🎀♥ @gimmy_tz @chidizotz👊