@kevychazy_: Chidbenz ameonyesha maelezo na kusema kuwa Nyotandogo hajawahi kuwa mpenzi wake ila anatamani angekuwa kwani ni msanii anayependa sana nyimbo zake na anafanya vizuri sana. Full interview ipo YouTube channel ya #ChazyMedia #tiktokindia #fypシ゚viral #tiktoktiktok