@nyayotv: Ili mahari unayotoa ilingane na mwanamke unayetaka kumuoa inapaswa uwe na mjomba kama huyu lasivyo,uyachemsha mapema sana!😂 Na ukikaa vibaya utauziwa mbuzi kwenye gunia,mjomba ni mama bhana!😂 Follow us 🙏 #tiktokkenya #fypシ゚viral #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsight #fyp
NYAYO TV
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 18:18:23 GMT
Music
Download
Comments
Mr. Black :
I need his services in December. Kuna kazi kenya.
2026-08-19 12:28:51
0
JB. :
laki 5 nyingi mjombaa
2026-08-11 16:47:55
35
Silverboyjr ❤️🔥❤️🔥 :
hizi laki tano ni za Kitazania ama Kenya ?
2026-08-15 11:19:56
17
ÎẞMÆL 🫵🫵🔥 :
mjomba mungu akulindee
2026-08-15 07:04:41
52
cutesara💝 :
haya mamjomba ya hivi kila familia huwa hayakosagi
2026-08-14 09:46:36
26
WAMBOZI :
samahan kama nitawarudisha nyuma😂😂😂
2026-08-16 08:56:09
12
mr Bahari..🤽♂️ :
apa huto ona comment za madem
2026-07-23 05:04:05
25
Enock@tupelee1234 :
mjomba mjombaaa najivunia kua na wewe♥️♥️♥️
2026-08-15 05:32:24
15
Engineer Bichsang :
Mjomba anaezakombolewa?
2026-08-15 14:53:04
13
MSUKUMA WA SHY :
Toka Million 3 mpka laki 5 daaah mjomba Jau sana 😂😂😂
2026-08-15 10:40:51
7
xael :
kwan anapatikana wapi huyu mjomba 😂😂😂😂😂
2026-08-15 14:46:26
8
Night kali :
weeeee laki tano nyingi sana wanangu semenni ukweli laki tano nyingi sanaaaa labda laki na nusu au laki mbili
2026-08-08 06:07:02
11
Y S :
sijaona comment za wadada why
2026-08-05 15:53:28
8
Luga Mobile :
hela yote hiyo😂
2026-08-17 06:37:10
0
ms dath🥰 :
wadada siwaoniii😂😂😂😂
2026-08-14 08:59:12
8
Manda F.A🎧 :
hii video naenda kumuonesha mjomba mana siku zimekatibia
2026-08-03 20:08:53
16
abilius06 :
ndo maana halis ya mjomba sasa na sio uncle, Mungu anipe mjomba kama huyu jamna siku yenyew
2026-08-08 17:08:18
9
abdallahchembo :
mjomba nataka kuoa hivyo nakutegemea ankoo usinitupe
2026-08-07 07:16:39
6
watoto wa pool table 🇿🇦🇿🇦 :
mjomba hatar mno
2026-07-24 10:06:41
10
Oculy000 :
mjomba ni 🔥🔥
2026-08-15 11:41:39
4
joshualugenji :
nimetafuta ,sijaona..
2026-08-14 18:32:28
4
Laur Tajiri :
mbona hawajaandikishana? 😂😂😂
2026-08-14 11:00:21
4
Eddy Real Sounds 🎸🎵 :
mjomba mjomba
2026-08-14 15:52:40
4
tabakatawala :
makofi🙏🙏 makofi🙏🙏
2026-08-14 18:50:50
3
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.