@mirrsviva: #nokulia #nokutiahuruma #nokutoka

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 18:25:50 GMT
353382
21776
1058
1388

Music

Download

Comments

molelrachel
Rachel Mollel :
Huyu dada mimi kanitia moyo na nguvu toka nimjue na kumsikiliza Haki ndoa yangu naiyona rahisi hakuna mfano Mungu akuwekee sana kipenzi🙏🏽🙌🏾 mitano tena😊🫶🏼
2026-07-08 19:03:06
530
esterester19957
Blessing :
🤣🤣🤣🤣acha ncheke miee ww dada www be blessed
2026-08-21 18:23:28
1
fettlove5194
fetty love🥰 :
umenitia moyo sana asaiv kulia tunalia msiban
2026-07-09 06:06:23
267
frimina.massawe
Frimina massawe :
Tangu nizaliwe sijawahi kulia lisaaa😂🤣🤣🤣
2026-07-08 20:44:24
85
cute416688
CHIOMA💋 :
Wakat naolewa Mme wangu alikua na mwanamke Kazaa nae afu kampangia jiran na nyumban kwake bas bhna me sikua na jua lolote nilikuta wifi zangu2 na mashemej 2 nikawa na family ya watu 6 bas wale ndugu wa Mme hawafanyi kazi ata1 nafanya kila kitu me wala sikua na shida kabisa kwa sababu me ndo mwenye mji nikaishi pale wiki1 kwa amani akaja mama mkwe wangu weeeeee mto ukawaka hakuna rangi sikuona yaan boda analeta mboga mifuko 2 mfuko mmoja unaachwa kwangu mwingine unaenda kwa yule dada😭ngoja nilie kwanza 😭
2026-08-06 13:00:02
26
lincyjane
lincyjane :
hii nimeipenda Ila mchepuko wa mme wangu ni mwalimu wa tuition na anajua jamaa kaoa sasa sijui nifanyaje
2026-07-08 20:24:38
39
abeliwbkcqc
Suzie💕 :
Dada vivi umenifundisha kuto kukurupuka sio kwenye ndoa tuu hata kwenye maisha sikurupuki toyota wangu weee nakupendaaaa💕💕❤️
2026-07-09 09:10:11
112
edwiga.joseph
jnb life :
wapole na wacha mungu njooni
2026-07-08 18:38:45
55
karsmacollection
karsmacollection :
Anywe ata peps Kama awezi kutengeneza iyo juice😅😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-07-09 20:07:31
69
sarahmgoha
Pray everyday :
dada nakuona mara ya kwanza na nmekuelewa acha nikufollow
2026-07-09 16:39:29
50
25_january01
💐25 January ♒ :
jaman mimi Mungu anisaidie nipate kazi tu niweze kujikimu mahitaji yangu hawa wanaume sitaman ata wapate muda wangu
2026-07-09 11:20:19
28
cheerful554
cheerful :
nimekuwa wa kwanza leo🥰🥰🥰
2026-07-08 18:29:16
37
user3736992107399
user3736992107399 :
jaman da viva unaakili sana lakini kuna sisi ambao haturuhusiwi kushika cm zao zina password za kila namna mungu atutie nguvu
2026-07-14 15:36:48
5
user35619545691494
user35619545691494 :
ila ww dada unanikoshoga jmn
2026-07-09 10:57:11
6
0323_anna
Anna :
Zingatia timer 😀
2026-07-09 05:43:17
6
magreth.maji
magreth maji :
akili kubwaa sanaaa Mungu akutunze dihaaaaaa
2026-07-09 16:33:30
6
suzan.samwel17
Mîsojî :
Ubalikiwe.umenifunzakitu🥰😂😂
2026-07-09 10:11:03
6
mama.g9894
Mama G :
juice tamu kwa kwel😁
2026-07-08 18:38:48
23
sumeiyasameer
Sumeiya Sameer :
ila dada umenichamba
2026-07-09 08:30:25
19
nipha711
. :
havichelewi
2026-07-08 20:26:41
15
dianathedresmaker
Dianathedresmaker :
collection na cosmetics wameanza😅
2026-07-08 22:37:20
16
lyn_med8
Lyn_med💥 :
wapole na wacha Mungu,Asalaam Aleyke,Bwana Yesu Asifiwe,Tumsifu Yesu Kristo,Mwana kondoo Ameshinda,Shika neno(kherii,imekuaa)
2026-07-09 14:11:13
9
midmar007
middy :
Da viva unaakili sana jmn mashallah
2026-07-09 04:35:50
17
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About