@bongofive: @smsuva27 kupitia Podcast ya #B4TheFame amefunguka mbele ya @el_mando_tz kuwa kama Taifa tunakosea sana kuwategemea yeye na @samagoal77 Taifa Stars wakati inatakiwa wawe wachezaji wengi zaidi wanaocheza nje ya nchi ili Taifa kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali. Je, kwa maoni yako wewe unaona kama Taifa tunafeli wapi kwenye timu ya Taifa?? Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 18:32:21 GMT
56367
3112
18
18

Music

Download

Comments

gabby.ngahy
Gabby Ngahy :
sio samata na msuva ni samataaaaaaaaa
2026-07-09 18:01:32
1
tyno4039
tyno :
mbn l misr wanacheza ndani
2026-07-08 19:43:40
5
willy.mwaitege
willy mwaitege :
point
2026-07-09 14:48:06
0
user141919504525
user141919504525 :
Umeongea ukweli
2026-07-09 06:58:12
0
majujila27
maju jr :
kaka upo sahih san
2026-07-09 02:06:06
1
user23992294844161
user23992294844161 :
Salute
2026-07-09 08:13:28
0
user7186239860020
kotesha jr :
musuva anaakili nying
2026-07-09 14:38:33
0
_dyvon
Dyvon :
point
2026-07-08 19:36:41
0
mc_ben_masauti
mc_ben_masauti :
ni maneno ya baadh ya wachezaj wakianz kujipata lakin kaongea point
2026-07-09 04:02:10
0
johnevance556
John Evance :
vipaji vipo vingi mtaani sema ndio Ivo tu support
2026-07-09 07:22:24
0
boppe_1213
MuNyAmA💪 :
South Africa wapo wengi
2026-07-09 14:20:13
0
jac_12tz
Jacob12 :
angalia timu ya misri
2026-07-09 11:51:16
0
paulbukuku55
PAUL IT🇿🇦🇹🇿 :
🚀
2026-07-08 18:37:46
0
officialdigo2
WARIOBA2👑 :
👍👍
2026-07-08 19:24:08
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About